Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyofanyika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, Mkoa wa Kaskazini Unguja - tarehe 12 Aprili, 2024.
Pia soma:
- Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?
Pia soma:
- Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?