tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Sio usikute, ndio uhalisia wenyewe.Usikute hela zimetoka Tanganyika. Halafu tunafanyiana mazingaombwe/kiini macho.
Naunga hoja la sivyo watuoneshe hizo hela in cash😬sisi tuliopo tanesco tunasema hakuna pesa zilizoingia , ila tumeambiwa tuandike kwenye books of accounts kuwa limelipwa, yaani ni juu kwa juu
Nayo c ni sehem ya zenji 😆Usikute hela zimetoka Tanganyika. Halafu tunafanyiana mazingaombwe/kiini macho.
We mbeba nguzo wa tanesco haya umeyajuaje.sisi tuliopo tanesco tunasema hakuna pesa zilizoingia , ila tumeambiwa tuandike kwenye books of accounts kuwa limelipwa, yaani ni juu kwa juu
Sahihi kabisasisi tuliopo tanesco tunasema hakuna pesa zilizoingia , ila tumeambiwa tuandike kwenye books of accounts kuwa limelipwa, yaani ni juu kwa juu
Watuonyeshe hiyo control no + invoice ya TANESCO, hapa ukweli hizi ni fedha za bara zilichotwa zikapelekwa Zanzibar kufanya maigizo ya kulipa deni.
😂😂We mbeba nguzo wa tanesco haya umeyajuaje.
Hilo nalo mkaliangalieUsikute hela zimetoka Tanganyika. Halafu tunafanyiana mazingaombwe/kiini macho.