GE2025 Rais Mwinyi alipa deni lote la Zanzibar lililodaiwa na TANESCO

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wizi mtupu, hawa watanzania tunaonekana mazuzu
 
Tanganyika alijiingiza kwenye mtego mgumu sana. Bora kina Senegal, Gambia nk waliyaona mapema. Wakaachana nayo.
 
Hili Deni lilifutwa na Rais wa Tanzania nadhani kuna kiki inatafutwa hapo.
 
Kinachokera ukisoma hii mada mpaka sasa Hakuna mtu alietafuta maelezo ya ‘Haji Mohammed’ mkurugenzi wa ZECO kuelezea namna hilo deni lililovyipwa kimagumashi.

Deni la tsh billion 291, kwa msaada wa Samia likageuka kuwa deni la tsh 5 billion.

Sasa kwanini wasilipe.

You people are just lazy to say the least.
 
Deni wamelipa wapi au tumelipa watanganyika 😁😁😁 samia na Rostam azizi wanatuona wapumbavu sana.
 
Deni la bilioni karibu 300.. bajeti ya wizara ya nishati ya Zanzibar ni kiasi gani?
 
Katika awamu hii, zenji wako liquid sana! Kwa vyanzo vipi vya mapato???? Najiuliza alafu nakaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…