Rais Mwinyi amteua Dkt. Zuhura Mohamed Abdallah kuwa Kamishna wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini katika Tume ya Mipango

Rais Mwinyi amteua Dkt. Zuhura Mohamed Abdallah kuwa Kamishna wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini katika Tume ya Mipango

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
IMG_20220405_123942.jpg
 
Mwinyi anajitahidi mno kuwaletea wazanzibari maendeleo ndio maana kateua mtu wa ufuatiliaji

Zuhura mteuliwa kama kazi zako hujui vizuri nakusaidia soma ilani ya CCM kwanza inasemaje kipindi cha uchaguzi Zanzibar 2015 pili angalia Raisi wa Zanzibar aliahidi nini kutafuta kura 2015 kwa wazanzibari?

Pata hotuba zake tatu usome bajeti iliyopitishwa na baraza la wawakilishi Zanzibar angalia kilikubaliwa nini kifanyike kwa muda upi na je kiko hatua gani andika report mpe Raisi Mwinyi kila baada ya miezi mitatu umpelekee usiamini.

Watendaji na wewe uende site uhakiki usiseme ohh mimi nililetewa taarifa kahakiki physically kabla kukabidhi kwa Raisi ili kukiwa kuna maneno uwajibike ujiuzulu usisubiri akutumbue. Hiyo nafasi ni ya mshauri wa juu sana wa Raisi usiichukulie poa.Wewe ndio.jicho lake

Hongera kuteuliwa
 
Hayo makanisa munayosema yanavunjwa waumini wake wote ni wageni . Wakristo wa Zanzibar makanisa yao ni mawili tu.
Nadhani hujui kuwa dunia ni muingiliano wawatu tofauti tofauti..

Acheni kuwavunjia makanisa..hata kama ni wageni...kila mtu anahaki yake ndani ya hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona wanao teuliwa ni warabu na wahindi mkuu
Issue sio race ni performance

Unge ku comment mbeleni kama performance yake itakuwa mbovu

Raisi Raisi Mwinyi is a no nonsense President akiteua mtu anateua certified Perfomer labda huyo mteuliwa achemke mwenyewe
 
Hii akili ya kuchukua fresh lectures from college ilishafanywa na mwendazake hawakuwa na msaada wowote. Badala ya kumtafuta mtu anayejua M&E labda angemtoa private huko anachukua mtu wa kwenda kufundishwa kazi na juniors wake.
 
Issue sio race ni performance

Uke ku comment mbeleni kama performance yake itakuwa mbovu

Raisi Raisi Mwinyi is a no nonsense President akiteua mtu anateua certified Perfomer labda huyo mteuliwa achemke mwenyewe
hujaelewa....
 
Back
Top Bottom