Mwinyi anajitahidi mno kuwaletea wazanzibari maendeleo ndio maana kateua mtu wa ufuatiliaji
Zuhura mteuliwa kama kazi zako hujui vizuri nakusaidia soma ilani ya CCM kwanza inasemaje kipindi cha uchaguzi Zanzibar 2015 pili angalia Raisi wa Zanzibar aliahidi nini kutafuta kura 2015 kwa wazanzibari?
Pata hotuba zake tatu usome bajeti iliyopitishwa na baraza la wawakilishi Zanzibar angalia kilikubaliwa nini kifanyike kwa muda upi na je kiko hatua gani andika report mpe Raisi Mwinyi kila baada ya miezi mitatu umpelekee usiamini.
Watendaji na wewe uende site uhakiki usiseme ohh mimi nililetewa taarifa kahakiki physically kabla kukabidhi kwa Raisi ili kukiwa kuna maneno uwajibike ujiuzulu usisubiri akutumbue. Hiyo nafasi ni ya mshauri wa juu sana wa Raisi usiichukulie poa.Wewe ndio.jicho lake
Hongera kuteuliwa