Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar kuelekea Dodoma kuhudhuria vikao vya kawaida vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa vya kuchuja na kupitisha majina ya wagombea nafasi za wenyeviti wa CCM Mkoa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM viti vya Mkoa Bara na Visiwani, pamoja na wagombea wa Jumuiya ngazi ya Mwenyekiti na Makamu na wa-NEC kupitia Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi.
Uwanja wa Ndege wa Dodoma Mhe. Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na viongozi mbalimbali wa mkoa.
[emoji414] 26 Oktoba 2022
View attachment 2399101
Uwanja wa Ndege wa Dodoma Mhe. Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na viongozi mbalimbali wa mkoa.
[emoji414] 26 Oktoba 2022