Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.

Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?

====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
 
Bwaaa mdogo kadiri ya JUSSA mwakani wanamrudisha kwake yaani huku kwetu bara!!
 
Back
Top Bottom