Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.

Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?

====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
 
Ni kama wametoka CCM B na kwenda CCM A😏

1000014201.jpg
 
Kuna watu wanazaliwa na bahati,eti mtu kama Mwinyi nae ni Rais.
Jamani maajabu hayatakuja kuisha Duniani.
 
Back
Top Bottom