Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.

Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?

====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
 
Mwinyi hakubaliki Zanzibar.

Moja, siyo mzanzibari mzawa na mkazi.
Mbili, hakushinda uchaguzi wa 2020, aliwekwa na mabavu ya jiwe.

Pamoja na kufanya hizi siasa zake za kizamani bado 2025 hatoboi. Wazanzibari hatumtaki.
 
Back
Top Bottom