Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.

Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?

====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
 
Mwinyi hakubaliki kabisa hapa Zanzibar, kwasbbu:-
1. Siyo mzanzibari mzawa na mkazi.
2. Hakushinda uchaguzi mkuu wa 2020, aliwekwa tu kimabavu na jiwe.

Hata afanye hizi siasa zake za kizamani hatoboi 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…