Pre GE2025 Rais Mwinyi ashiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Pre GE2025 Rais Mwinyi ashiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa (NEC), kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Jijini Dar es Salaam tarehe: 03 Aprili, 2024.

 
Back
Top Bottom