Rais Mwinyi awachana Upinzani adai kama hawaoni Flyovers, watazame angani!

Rais Mwinyi awachana Upinzani adai kama hawaoni Flyovers, watazame angani!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ametupa kijembe kwa vyama vya upinzani ambavyo vimezoea kutoa kasoro katika miradi mbalimbali na kusema ndo wanaanza

Kwa mujibu wa Hussein mwinyi amesema sasa watamtungia jina la Mwinyi maflyover na wakisema hawaoni watazame ya angani kama hawaoni watakuwa Juha.
 
Yeye mwenyewe ameingia Madarakani kwa Wizi mkubwa wa Kura
 
Back
Top Bottom