Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Dec 20, 2024 #1 Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ametupa kijembe kwa vyama vya upinzani ambavyo vimezoea kutoa kasoro katika miradi mbalimbali na kusema ndo wanaanza Kwa mujibu wa Hussein mwinyi amesema sasa watamtungia jina la Mwinyi maflyover na wakisema hawaoni watazame ya angani kama hawaoni watakuwa Juha. Your browser is not able to display this video.
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ametupa kijembe kwa vyama vya upinzani ambavyo vimezoea kutoa kasoro katika miradi mbalimbali na kusema ndo wanaanza Kwa mujibu wa Hussein mwinyi amesema sasa watamtungia jina la Mwinyi maflyover na wakisema hawaoni watazame ya angani kama hawaoni watakuwa Juha. Your browser is not able to display this video.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Dec 20, 2024 #2 Kama hawaoni demokrasia ccm, watazame chadema
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 20, 2024 #3 Na yeye aache uswahili.Afanye kazi kwa misingi itakiwayo na ukimya ili vitendo vimuongelee zaidi.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 20, 2024 #4 Yeye mwenyewe ameingia Madarakani kwa Wizi mkubwa wa Kura
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Dec 20, 2024 #5 Hivyo ndio vitu vyakujivunia?, mwambieni hivyo ni vitu vidogo sana, sio maajabu. Kwanza tumechelewa saaana.
Hivyo ndio vitu vyakujivunia?, mwambieni hivyo ni vitu vidogo sana, sio maajabu. Kwanza tumechelewa saaana.