Katiba ama Rais wa jamuhuri ya Tanzania siujui kipi kipo juu ya mwingine! Mimi nilidhani katiba, maana kwa anayejaribu kuivunja katiba adhabu yake ni ndogo sana kumzidi anayetaka kumpindua rais!
Mjadala kwamba katiba ikiukwe ili ukomo wa rais uondolewe, sioni una tofauti ipi na mjadala kuwa tumpindue rais. Maana yote ni haki ya mtu kujadili kitu asichokitaka!
Mathalani ingekuwa tumeshauondoa tayari ukomo wa rais kuongoza, basi tukawa kama Rwanda ama Uganda, na ikawa kama ilivyo sasa ambapo JPM hayupo, ni wazi kuwa SASHA angekuwa rais wetu wa kudumu. Sioni shida imgekuwa wapi, maana itakuwa tulipanga na kuchaguwa wenyewe, ila ukakasi ninao uona sasa hivi ni wale walioanzisha mjadala huu wakti wa JPM wakirusha vijembe vya kutamani utawala wa mama uishe hata kesho!
Embu tuwaulize wale wenzetu waliotaka kuchezea katiba, hasa kifungu hicho ili tuongozwe milele, hawakudhani kuwa nchi ingempata rais dikteta wa maisha ingekuwae? Tuwaulize hasa wale waliokuwa kwenye nafasi za maamuzi "hata asipotaka tutamwoneza kilazima" kama bado wanatufaa, wanatosha au tuwaone ni wahaini?
Kama walikuwa sahihi, basi ule mjadala uendelee ili tumpatie mama uhuru wa kutawala bila kikomo. Marais wengine walioondoka, waliheshimu katiba kwa kufuata utaratibu tulio jipangia na siyo kuwa walikuwa wabaya au hawakuwa watendaji.
Ni rai yangu kuwa, kutapeleka bungeni hati ya dharura ili tukubaliane kwa pamoja kuwa yeyote yule, iwe sasa na huko baadae, akijaribu kuongelea swala hili la kuongeza muda ama kuondoa kabisa ukomo wa rais, awe gizani au hadharani basi mtu huyo ni muhaini na msaliti wa nchi yetu.