Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio sababu ya kufanya utamaduni wa kiafrica kuwa wa kishenzi, waza pia kuhusu tamaduni zao tata.Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
Ww unaujua utamaduni wa wazungu haya wamesema jinsia moja waowane wafuate hao wazungu wako uache misimu yenu utembee na pempasi.Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
Wao ndio vyombo vya Ulinzi na Usalama?Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
WATAKUWA MACHIFU WA MCHONGOChief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
hapana, ni machifu wa ukweli, nawafahamu wengine, kama yule chief zulu wa songea, lile lichifu lenye rasta la mbeya, na wengine wanahudhuriaga sana mikutano mingi.WATAKUWA MACHIFU WA MCHONGO