Rais na Mwenyekiti wa Chama changu (CCM), maadui wako siyo wapinzani Bali Machawa wa Mtandaoni na washauri wako baadhi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,

Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja

Mama nakusihi epuka mambo haya

1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge Fel nadhani umenielewa.

2. Kundi kubwa ilipo upokea Urais walifurahi, Lakin kinachowaumiza ni kuwakumbatia Mawaziri ambao wamewai feli Mara kadhaa

Mwenzako alimfukuza Nape, na Makamba we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!

3. Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo Serikali Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025.

Muhimu sana epuka machawa wasioweza eneza propaganda ikaaminika without any doubts

Sasa vijana wanaojifanya kukutetea ndo wanaharibu kabisa

Britanicca
 
Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,

Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja

Mama nakusihi epuka mambo haya
1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge Fel nadhani umenielewa!
2. Kundi kubwa ilipo upokea Urais walifurahi, Lakin kinachowaumiza ni kuwakumbatia Mawaziri ambao wamewai feli Mara kadhaa

Mwenzako alimfukuza NAPE, Na MAKAMBA we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!

3.Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo SERIKALI Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025

Noted...

Uwenyekiti wa chama tawala kwa taifa hili kubwa lenye mafundi na vipaji vya hoja na kuongea ni kazi sana.....

Binafsi ninamuonea huruma MAMA....kweli UKUBWA JALALA...

#CCM kitabaki sisi tunapita[emoji2956]
 
Hivi chawa akikubuhu saana huwa anaitwa nani ? Kiwavi au mdudu gani jamani nisaidieni.
 
Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,

Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja

Mama nakusihi epuka mambo haya
1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge Fel nadhani umenielewa!
2. Kundi kubwa ilipo upokea Urais walifurahi, Lakin kinachowaumiza ni kuwakumbatia Mawaziri ambao wamewai feli Mara kadhaa

Mwenzako alimfukuza NAPE, Na MAKAMBA we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!

3.Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo SERIKALI Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025

Muhimu sana epuka machawa wasioweza eneza propaganda ikaaminika without any doubts

Sasa vijana wanaojifanya kukutetea ndo wanaharibu kabisa

Britanicca
Si mlisema Lissu na Mbowe?
 
Mwenzako alimfukuza NAPE, Na MAKAMBA we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!
Acha Uchochezi
 
3.Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo SERIKALI Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025
Ccm.haishindi kwa Kampeni wala Kwa Kura. Hilo sahau.

Tafuta hoja Nyingine.

Mama Kanyaga Twende achana na hawa waoga
 
Adui namba moja nchi hii kiuchumi ni chadema uliza popote utambiwa
 
Mwenyekiti wako uelewa wake ni mdogo sana!
Si kweli...

Ni picha iliyotengenezwa na mahasimu wake....

Hivi mbinu za utawala wa JPM zilikubaliwa na walio wengi?!!!

Mama asimamie mstari upi ?!!!

Aende na mbinu zake JPM ?!!! [emoji15][emoji15]

Asimamie mbinu zipi?!!

Pendekezeni.....
 
Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,

Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja

Mama nakusihi epuka mambo haya
1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge Fel nadhani umenielewa!
2. Kundi kubwa ilipo upokea Urais walifurahi, Lakin kinachowaumiza ni kuwakumbatia Mawaziri ambao wamewai feli Mara kadhaa

Mwenzako alimfukuza NAPE, Na MAKAMBA we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!

3.Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo SERIKALI Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025

Muhimu sana epuka machawa wasioweza eneza propaganda ikaaminika without any doubts

Sasa vijana wanaojifanya kukutetea ndo wanaharibu kabisa

Britanicca
Imagine chama kimejaa wajinga wajinga hata kujibu hoja za msingi kwa niaba ya chama hawawez. Kaz yao ni kusifia na uchawa, imagine watu calibre ya choiceVariable HIMARS Faizafoxy covax GUSSIE Comte Lord denning. Hili ni kundi hatar sana kwa uchawa!!
 
adu namba moja nchi hii kiuchumi ni chadema uliza popote utambiwa
[emoji1787][emoji1787]
Pale walipowatumia CDU kufanya "lobbying" mule BUNGENI bundestag ili taifa letu lisitishe mradi wa ujenzi wa bwawa la ufuaji umeme Mwalimu Nyerere nikawaona ni wafalme wa usakala....
 
Imagine chama kimejaa wajinga wajinga hata kujibu hoja za msingi kwa niaba ya chama hawawez. Kaz yao ni kusifia na uchawa, imagine watu calibre ya choiceVariable HIMARS Faizafoxy covax GUSSIE Comte Lord denning. Hili ni kundi hatar sana kwa uchawa!!
Hoja zipi tumeshindwa kujibu?!!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Ya kutaka kumuua mbwa umpe jina baya ?!!! [emoji15]
 
Back
Top Bottom