FADHILI KIKA
Member
- Jun 10, 2013
- 6
- 0
Katika rasimu ya pili ya katiba ya nchi kuna kipengele kimeandikwa kwamba RAIS wa jamhuri ya muungano asijihusishe na chama cha siasa,swali ni kwamba itawezekanaje kutojihusisha na siasa na wakati ameteuliwa na chama kuwania nafasi hiyo na wana nchi wamemchagua kupitia chama husika?,wadau uwanja kwenu je mnasemaje?