Rais Samia, Waziri wa Afya na Makatibu Wakuu Wizara, kwa taadhima tunaomba umtoe Dkt. Ernest Ibenzi Mganga Mkuu mfawidhi Hospitali ya Mkoa Dodoma.
Amegeuza ofisi ya Umma kama Mali yake binafsi na kufanya kazi kwa mazoea. Pia amekuwa akiwatukana, kuwadhalilisha na kuwakaripia Watumishi kama watoto/wafanyakazi wake wa nyumbani.
Pia miradi zaidi ya 6 imekwama kuendele kwa kisingizio cha kutopata fedha toka Serikalini. Ana makandokando mengi sana ya ubadhilifu wa fedha za Umma, TAKUKURU wachunguze kwa kina.
Zaidi analalamikiwa kwa ukabila '''Sukuma gang'' na kuzorotesha jitihada za Rais Samia. Ikumbukwe kuwa Hospitali ya Rufaa Mkoa Dodoma ni kimbilio la sisi wanyonge na Viongozi wa Serikali.
Hivyo kwa Utawala bora, ustawi jamii na Watumishi wa Afya nchini, tunaomba Dkt. Ernest Ibenzi atolewe/ahamishwe Hospitali ya Rufaa Dodoma ili kuleta maendeleo, ufanisi na huduma bora kwa wana Dodoma na Taifa zima.
Kwa pamoja tunalijenga Taifa.