DOKEZO Rais na Waziri wa Afya mtoeni Dkt. Ibenzi Ernest Hospitali ya Rufaa Dodoma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimetoka ushauri ukipata shida komaa na shida Yako.
Kwa nini utoe ushauri kwa kujificha kama ni kweli? Serikali ina mkono mrefu kabla wewe hujatoa hayo malalamiko yako hakuna isichokijua kwenye kila hospitali hata wewe inakujua na utachunguzwa kuhusiana na tuhuma zako kama ni za kweli ama la Kazi Iendelee.
 
Tafiti zinaonyesha hakuna watumishi wanaopenda rushwa kama nyie mnaofanya kazi hapo hospital ya mkoa Dodoma nimeshakutana na watu wengi waliokuja kutibiwa hapo wanalalamika sana.Nafikiri ndo maana mganga mkuu mfawidhi amekuwajua amekua mkali muache iyo tabia mara moja.
 
Pole sana kwa kumtete Sukuma gang wenzako.Unajua kuwa asilimia kubwa ya suppler Hospitali Rufaa Mkoa Dodoma ni kampuni zake Dr.Enerst Ibenzi.
Mimi ni Mwananchi hupenda kwenda kupata hudama pale.Kati ya taasisi wanaokata rushwa ni Watumishi wa Hospitali DODOMA.
 
Kweli Mkuu sisi Wananchi tusipo sema Serikali itapata wapi taarifa.Pia Jamiiforum siyo mafichoni ni sehemu ya kutoa dukudukuili kujenga Taifa letu.
 
Kweli Mkuu sisi Wananchi tusipo sema Serikali itapata wapi taarifa.Pia Jamiiforum siyo mafichoni ni sehemu ya kufichua na kusemea madudu ili kujenga Taifa letu.
 
Dr wacha uvivu na majungu.

Hapo kabila linahusikaje? Daktari unashindwaje kujenga hoja yenye mantiki utadhani hukusoma?

Kama hufanyi kazi lazima ufokewe tu
 
Ngoja tumsagie kunguni
 
Ahamishwe au afukuzwe kazi kabisa? Maana kumhamisha yeye ni kuhamisha 'maafa' kwenda kwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…