TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Ndio cheo chake kikatibaEti Rais..! Kuna rais hapo!?
Mkuu wa majiziNdio.
Kuna speech moja amesikika akisema "Wewe kula chako kaa kimya",naam tena alikuwa akiongea Katika majukumu yake kama mkuu wa nchi aliyeapa kuilinda na kutetea katiba ambayo inapinga dhulma kama rushwa.
Kwa muktadha huu huwezi kunikatalia nikisema huyu ndie kiongozi wa genge la kutoa rushwa,anatoa rushwa hadharani kwa mwamvuli wa michango na zawadi kwa kwa kigezo cha yeye ni Rais.
Pesa zote za serikali zina utaratibu wa kuzutoa ila anazozitoa yeye hatujui zinatoka kwa utaratibu gani?.
TAKUKURU hawawezi kumgusa yeye na washirika wake sababu yeye ndio aliyewateua makamishina wakuu na wakurugenzi,watatoa wapi nguvu ya kuhoji na kuchukua hatua?.
TAKUKURU inafaida gani kama mkuu wa nchi anafikia hatua yakufanya mambo kinyume na taratibu,anategemea watakuwa vipi na nguvu yakutekwleza majukumu yake?.
Ndio maana walijitungia sheria kujipa kinga yakutoshitakiwa ili wafanye upuuzi kwa uhuru.
CCM na ratiba ya mwaka 1977 ndio maadui zetu wakubwa. Tukiwang'oa hao tunatoboa na kuwa nchi ya asali na maziwaAdui wa nchi hii ni samia na kikwete
Bila hofu kabisaMkuu wa majizi
Kuna namna makosa makubwa yalifanyika kumpa position.Kuleni kwa urefu wa kamba "
Mimi ni Rais mwenye jinsi ya kike "
Hizi kauli zilitosha kutonyesha mtu uyu ni kilaza
Nina mlaumu Mwalimu kwaCCM na ratiba ya mwaka 1977 ndio maadui zetu wakubwa. Tukiwang'oa hao tunatoboa na kuwa nchi ya asali na maziwa
Kinachoniuma wanasema ni kuwezesha sio rushwa.Ndio maana wabunge wanaotaka kurudi bungeni wanagawa rushwa kama njugu! Tena waziwazi kwa wajumbe. Safari hii wale ambao hawawana rushwa za kugawa kwa wajumbe wana wakati mgumu wa kushinda. Wajumbe wenye wanasema mkono mtupu haulambwi!
TAKUKURU itawaonea haya vigogo watakaotoa rushwa ili warudi bungeni. Rushwa kwa sasa ni uwezeshwaji, shukrani na zawadiNina mlaumu Mwalimu kwa
Kinachoniuma wanasema ni kuwezesha sio rushwa.
TAKUKURU nao wamenyamaza,napata shida sana