Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Wakuu nataka kujua,
Kwa mujibu wa katiba ya muungano wa Tanzania, Rais wa jamuhuri lazima awe na umri wa kuanzia miaka 45 ndipo anaweza kuwa na sifa ya kugombea urais.
Swali
jJe, kwa mfano Rais X akiwa Madarakani na umri wake ni miaka 50 na Makamu wake Y yeye akawa na umri wa miaka 40. Baadae Rais X akaaga Dunia na hivyo kwa mjibu wa katiba Aliye kuwa makamu wa Rais na maanisha Y ndio atachukua madaraka ikumbukwe Y yeye umri wake ni miaka 40.
Je, kwa mujibu wa katiba huyo Y atakuwa na haki ya kuwa Rais? Na kama ndio je, kigezo cha umri inakuwaje? Maana Y hatokuwa na umri wa kuanzia miaka 45 bali yupo chini ya miaka 45 yaani miaka 40.
Wajuzi msaada wenu.