Hapo walio wanahitaji Watu wakubwa wenye busara nazani maana kipindi cha nyuma mkubwa ndio alikuwa na busara zaidi ya Watu wa kipindi hiki licha ya wachache kipindi hicho hata vijana walikuwa na busara mfano NyerereKwanini mpaka upindukie miaka 40 ndio uruhusike kugombea uraisi? mambo ya kishamba sana
Mbona Nyerere alikua raisi akiwa below 40?
Hao wa miaka 40 full pumba
Kweli hivyo tumuunge hata Chalamila kuwa katiba mpya ni muhimu sana.Katiba mpya inahitajika na hizo Sheria zimepitwa na wakati, yule DJ wa Madagascar alikuwa Rais chini ya miaka 40, Joseph kabila Kawa Rais Chini ya 40, mifano ni mingi. Katiba inatakiwa itamke Umri kuanzia miaka 21 na Elimu kuanzia Degree 1, mtu Anaweza kuchaguliwa kuwa Rais, na vigezo Hadi awe na Mke viondolewe.. Hata msela Anaweza kuwa na Busara kushinda Hawa wazee wenye 50yrs.
Kibongo-bongo miaka 35 hajielewi zaidi ya kusifia Tu na gambeAsante mkuu nikafikiri hata makamu anaweza kuwa na miaka hata 35 kumbe hivyo hivyo kwao kigezo cha umri hutumika.
Wataje wawili tuLakini kuna wengine wana umri wa miaka hata 30 lakini wanabusara zaidi hata ya mtu wa miaka 50.
Hapo walio wanahitaji Watu wakubwa wenye busara nazani maana kipindi cha nyuma mkubwa ndio alikuwa na busara zaidi ya Watu wa kipindi hiki licha ya wachache kipindi hicho hata vijana walikuwa na busara mfano Nyerere
Kwa upande wangu ndio sijajua upande wako
We taja acha longolongoWaliopo Bungeni au popote