Tetesi: Rais ni taasisi anachosema ni sahihi mapungufu hayakosekani

Tetesi: Rais ni taasisi anachosema ni sahihi mapungufu hayakosekani

krava

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
225
Reaction score
287
Ndg wana jf urais ni taasisi sio magufuli jpm anachokisema ujue ni tamko halali lililofanyiwa uchambuzi yeye kama binadamu anakosea ila kama taasisi yaweza kosea pia ila kunakuwa na credibility zaidi kuiamini taasisi inayolinda maslahi ya taifa kuliko kumuamini MTU mmoja mmoja mwenye maslahi binafsi

Go jpm go tunaokuunga mkono tupo na tunaokukosoa tupo
 
Anajifunza kuunda hoja masikini. Bado sana aisee, hueleweki....
 
We ni kilaza mkubwa. Acha kujipendekeza, utakufa na umaskini wako.
 
As a human being everybody should have a margin of error, but the guy has gone too far.
 
Back
Top Bottom