Rais Nicolas Maduro wa Venezuela asema Afrika ilishinda Kombe la Dunia

wajiulize kwanini Argentina hakuna watu weusi ndipo utajua unyama wa wazungu, wazungu ni kizazi cha mashetani ndio maana wapo tayari kuwauzia silaha muuane ili wao wapate mali

Acha chuki kwa waajentina huwapendi kaa kimya mkuu, kwa taarifa yako tu hatuwafikii hata robo sekunde waajentina..wale wanaakili nyingi mzee,, sisi kazi yetu kulalama tu na ndiyomana maendeleo tutayasikia kwa weupe.
 

We jamaa unajua sana kujieleza..big up!
 
Mkuu unakosea sana kutaja watu weupe. Kumbuka kuwa Mtume wetu alikuwa arabian/mweupe. Sema wazungu ama wachina ama wahindi mkuu.
lakin hata waarabu pia tunalamika kuwa wabaguzi kwetu pia wayahudi tunasema ni wabaguzi sisi waaafrika kila mtu mweupe tunamlalamikia ni mbaguzi
 
Huyu jamaa katoka kuwa dereva wa basi mpaka kawa dereva wa nchi, nchi imemshinda,sasa lazima atafute kick za kijinga.
 

Hii ngozi nyeusi bwana, sijui ni nani aliyeturoga...kila siku tunawatupia lawama watu weupe mara ohh waguzi mara sijui nini!! Yani mwafrika hata aende university lakini kichwani zero kabisa labda wachache tu walioishi na weupe wakafunguka akili.
 
Miafrika ndivyo tulivyo
 
Hii ngozi nyeusi bwana, sijui ni nani aliyeturoga...kila siku tunawatupia lawama watu weupe mara ohh waguzi mara sijui nini!! Yani mwafrika hata aende university lakini kichwani zero kabisa labda wachache tu walioishi na weupe wakafunguka akili.
tumejaa lawama tu ht umaskini tulionao sasa tunalaumu wazungu waliotutawala wakati kuna nchi nyingi duniani zilitawaliwa km sisi lakin zmepiga hatua, angalia africa kusini walipoata uhuru weusi wakashika madaraka nchi imebaki palepale, hata wale weusi wenzetu waliojaaliwa rasilimali za mafuta kama arabs hawako km qatar saudi ama UAE badala yake na wao wako busy kulalama, tunalalamika kuibiwa rasilimali wakati sheria tunatunga wenyew mikataba inasainiwa na maraisi wetu, something is wrong with us for sure
 
Tunabaguliwa kwa ajili ya rangi yetu si kwa mapungufu yetu.
 
Kwa taarifa yako wanaogopa tabia za weusi wala sio rangi ya ngozi yako.
Mwanadamu ana tabia ile ile kote ukienda. Awe mweusi au mwekundu. Tunateswa na historia yetu. Ndiyo maana unaitwa ubaguzi wa rangi. Mfano ni India. Unajua hili. Kule kadiri unavyokuwa mweusi ndivyo unabaguliwa. wacheza mpira wenye pesa ulaya walio weusi bado wanabaguliwa.
 
punguza kutazama media za wazungu..
 
 
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hichi..!!

Hakika lisamehewe tumbo lililokuzaa.
 
Ki ukweli kama wazungu wangekuwa kama tunavyojiamisha kuwa wana ubaguzi. Mpaka sasa sidhani kama tungekuwa tuna Jf. Ingekuwa bado tumevaa yale magome yetu.Tuwaze tu kwa mapana Je hizi Teknolojia tungeweza kuzitumia kwa pamoja. Waza tu mtu mweusi kama angetangulia mbele ya mzungu, angalia kwenye jamii zetu tunavyofanyiana.
Tazama tu Kuna makampuni yenye weusi tupu, angalia vurugu zako na pilika zake kwa wafanyakazi,angalia watu wanvyonyanyasa yatima kwa kula pesa zao, tujiulize tu je tungefikisha hapa jamaa walipotufikisha na hizo rohozao tunazoziita?Unafikiria wanashindwa nini kutupiga chaap na Kombara za nyuklia. hata hizo haki za kibinadamu zinaenziwa na kuheshimiwa wakiwa wameziratibu, Mwafrika angeweza kutokomeza mara moja mtu mweupe na akawa kiumbe kilichopotea duniani. Mi nafikiri katika yote bado kuna sababu ya kila kundi kuwepo katika nafasi iliyopo na kumalizika kwa dunia nadhani weusi wakitawla dunia basi ndo mwisho sababu hapa Afrika ukiulizanchi zenye amani ni za kuhesabu, ukiuliza kwanini basi watu warubuniwe na puppets wahadae serikali zao wenyewe unagundua kosa linabaki kwenye Akili ya mtu mweusi kama tungekuwa watu tunaojielewa nini tunafanya mweupe angekaa mbali na asingeleta mazoea ni katika uwezo wa Akili ndipo tunapotofautiana mwisho wa siku kuna sababu kukawa na matabaka mbalimbali fahari ya Mwafrika ni Nguvu huwezi jua siku za Usoni mataifa ya Afrika yakapata umaarufu kutokana na uwezo wa nguvu na vipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…