Rais Obama akutana na Mwanamuziki Shakira

Rais Obama akutana na Mwanamuziki Shakira

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Obama akutana na mwanamuziki Shakira kujadili mradi wake wa maendeleo ya watotoAmerika Kusini. Sasa hii imekaaje wana JF yaani kwasababu ya uzuri wa Shakira au......
 
Mbona hujatuwekea hata hiyo picha ya Shakira na Obama tuone ?
 
signature yako na lililoko moyoni mwako!!!!!!!! mhhhh!!!!!!
 
Lazima prezidaa alitunukiwa viuno vya kufa mtu kutoka kwa binti wa kilatino.
 
Back
Top Bottom