Rais obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi



Kwanza, sikujua kuwa huu unga uko ghali hivi. Kilo 5 kwa milioni 225 (kilo moja milioni 51)?
Pili, tatizo la sheria kwenda kinyume ya haki. Unaposema "unga unaodhania kuwa ni cocaine", maana yake mpaka ithibitishwe "kisheria" kuwa ni unga, bangi ithibitishwe kuwa ni bangi n.k. Kwa kuwa tumagwiji wa rushwa, unga huo baada ya muda hugeuzwa kuwa unga wa ngano au backing powder, na majani ya bangi huwa mboga ya kisamvu.
Nakumbuka miaka ya nyuma ambapo bangi ilijulikana kwa harufu na sio mchanganyiko wake wa kikemikali kwenye maabara. Kwa mtindo huu, watakuwa wanaingiza madawa, yanakamatwa lakini daima hakutapatikana ushahidi.
 
Du! Bora obama apewe dunia atawale ataiweza halafu akina magamba wawe sungusungu. Obama akiamua anaweza kumaliza huu mtandao wa madwa ya kulevya kumbe. Keep it up obama, umestahili ile tuzo ya amani ya nobel. With thanks.

Akiweza badili dini kila mwezi , halfu akimaliza anakuwa bila dini ..angepwa dunia rasmi.
 
Du! Bora obama apewe dunia atawale ataiweza halafu akina magamba wawe sungusungu. Obama akiamua anaweza kumaliza huu mtandao wa madwa ya kulevya kumbe. Keep it up obama, umestahili ile tuzo ya amani ya nobel. With thanks.

Marekani ni moja ya nchi yenye watumiaji wa kupitiliza wa madawa ya kulevya, aanze kusafisha huko kwanza.
 
Tuko smart sana kuwashighulikia mama nitilie na wamachinga issue kubwa kama hii,We are immature

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ulivyoanza na taarifa yako ni kwamba huna uhakika...neno inasemekana linahusika hapo
 
ulivyoanza na taarifa yako ni kwamba huna uhakika...neno inasemekana linahusika hapo

Unaweza kutoa habari hiyo kutoka kwenye vyombo vya habari na bado ukaweka neno INASEMEKANA pia
 
Unaweza kutoa habari hiyo kutoka kwenye vyombo vya habari na bado ukaweka neno
INASEMEKANA pia
sasa kama source yako haina uhakika au imedanganya wewe unadhani bado ni busara kuendeleza kutokuwa na uhakika
 
sasa kama source yako haina uhakika au imedanganya wewe unadhani bado ni busara kuendeleza kutokuwa na uhakika

Hujanielewa..

Anyway hiyo ni habari ya ukweli, na uhakika
Over
 
Hujanielewa..

Anyway hiyo ni habari ya ukweli, na uhakika
Over
huo ni uongo maana umefikia kulazimisha.....halafu unapost ktk jukwaa la intelligence....udaku peleka ktk jukwaa lenu la siasa.... huku tunataka facts and not fictions......
 
huo ni uongo maana umefikia kulazimisha.....halafu unapost ktk jukwaa la intelligence....udaku peleka ktk jukwaa lenu la siasa.... huku tunataka facts and not fictions......


kwa maneno hayo yanaonesha ukoje upstairs na haustaili kuwa mtu ambaye unadai au kutaka wewe uwe ..
(intelligent person)
sifa za mtu makini angetafuta hiyo habari ili kuja kuniprove wrong kuwa ni uongo, wewe umeshindwa kufanya hivyo
kama ulikuwa unajihisi au kujiona wewe ni mtu makini safari bado ndefu mno
kwa kumalizia tu tembelea mtandao wa allafrica
au tafuta magazeti ya the citizen kati ya june 2 mpaka june 18 2011

btw hii habari ilishaletwa humu ikajadiliwa nashangaa wewe umekurupuka now mkuu

yale yale niliyokuwa nayasema
safari yako bado ndefu sana
 

Nikiangalia joining date yako na ulivyo na uchu wa kukanusha hizi issue drug dealers napata jibu kuwa you purposely joined JF kwa ajili ya kuja kutetea hao dealers wenzio!!

Kwa taarifa tu ni kuwa JF ni fupa lililomshinda fisi, sasa sijui wema_1 kama utaliweza!

Nimekuona kwenye uzi wa akina masogange ukjitoa fahamu kudhihaki kazi ya Mh. Mwakyembe hasa kuhusiana na sembe.

Juhudi za kuwasafisha wauza sembe hapa zimegonga ukuta mkuu, labda jaribu kurudi FB!

Jitambue!
 

Wewe ndio mkurupukaji hata mpangilio wa hoja zako ni wa kikurupukaji....suala lilikuwa wewe utoe chanzo cha taarifa yako uliyopost, sasa kwa nini hukuweka hizo kitu katika taarifa zako.....unapoandika jambo unataka watu wachangie njoo na source ndipo watu wachangie sio wachangiaji wakutafutie vyanzo vya habari yako...kazi ya mchangiaji ni kuona kama chanzo chako ni reliable na kuchangia...wewe umeweka tetesi..na bado unadefend tetesi zako za kijiwe cha kahawa

hoja c kwamba mimi ni mtu makini au la, hoja ni chanzo cha taarifa yako , wewe umekosa umakini na kupost habari based on hearsay, usikosolewe...unaelewa maana ya kuwa critical thinker.....mimi c mjumbe ndio mkubwa......whether mimi ni intelligent or not is still a matter of fact...upo hapo
 

whats so special alichonacho huyo mama mpaka obm ampigie simu jk, nchini kwake kuna familia za mafia na yakuza na magenge mengi ya walatini america, (mexicans, colombians) aache hao adili na huyo mbongo mmoja......hujanipata bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…