Rais Obama aonywa na kijana “Dont Touch my Girl friend”

Rais Obama aonywa na kijana “Dont Touch my Girl friend”

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Raisi Obama amejikuta katika masihara au wakati mgumu pale alipoambiwa na kijana mwenye wivu na mwenye nacho asimguse rafiki yake wa kike. Hili limetokea katika kituo cha kupigia kura kule Chicago. Obama alikuwa akipiga kura pembeni ya msichana huyo. Hata hivyo Obama alimkumbatia msichana huyo wa asili ya Afrika kabla ya kuondoka.

Obama alipata wakati mgumu hasa alipokuwa anatafakari mwanadada huyo atamjibu nini Boy friend wake mwisho wa siku.
safe_image.php


Source: BBC, Independent
 
Mhhh,huyo mbona ni kama yule binti yake mkubwa???
 
Wenzetu wamesomea hata jinsi ya kuwashika/kuwakumbatia wanaowapenda
 
Back
Top Bottom