kama ni kuzomea huenda pia walikuwa wanaanagalia zaid imani yao - au ya jumuia yao ikoje kuhusu suala hilo. hii naweka pembeni kuwa wao ni wanajumuia ya chuo kikuu - na ambao wanaweza kuwa wanatoka din tofaut
hebu kumbuka hapa tz rais mstaafu alhaj ali hassan mwinyi alishambuliwa mwilini alipoongelea suala la kondom kwenye shughuli ya kiislam. kitu kama hicho