Rais Obama na matusi

..hii peleka kule kwenye upupu section,then Nyani ngabu & the truth watakusaidia na material mengine kama hayo uliyopost!
 
Sio feki babu!
hii ni kutoka katika kitabu cha Obama "Dreams From My Father,"

soma na kusikiliza vipande zaidi hapa!

April Winchell
 
..hii peleka kule kwenye upupu section,then Nyani ngabu & the truth watakusaidia na material mengine kama hayo uliyopost!

Huyu achana naye! Atatupotezea muda wakati tuko busy na mijadala yenye maana! Tena hata my friend Nyani hawezi kukaa na kuongea naye huyu, labda the Truth....
 
Huyu achana naye! Atatupotezea muda wakati tuko busy na mijadala yenye maana! Tena hata my friend Nyani hawezi kukaa na kuongea naye huyu, labda the Truth....

- JF bwana sometimes inasuuza sana roho, maana nonesense hujibiwa kama inavyotakiwa, yaani na another nonesense, saafi sana Mkuu Susuviri, na hapa case inatakiwa kuwa closed! turudi kwenye ishus muhimu za taifa.
 
..nadhani Obama inabidi ajichunge sana na kauli zake. kuna interview moja alikosa uungwana na kumkandia jessica simpson kwamba ana weight problem. au alipomkandia Nancy Reagan, ikabidi amuombe radhi.
 
- Sasa hao wazee wa US si ndio mabingwa wa freedom of speech, sasa mwanasheria wa Harvard anahitaji kweli kukumbushwa how to talk au tunajaribu kumtafutia makosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…