Rais Paul Kagame amepotoka

Rais Paul Kagame amepotoka

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
16,681
Reaction score
8,241
Rais wa Rwanda Paul Kagame amepotoka kwa kusema Strive Masiyiwa ambaye ni mfanyi biashara kutoka Zimbabwe ashirikiane na Rais mojawapo wa Afrika ili Waafrika waweze kupata vaccine itakapopatikana ya Covid-19.

Je, PK anafahamu jinsi Masiyiwa alivyojitajirisha kwa dhuluma? Je, anafahamu kwa undani S masiyiwa jinsi ambavyo anawakandamiza Zimbabweans? Je, anafahamu jinsi S Masiyiwa jinsi alivyo unethical kwa kila shughuli anazofanya?

S Masiyiwa ni mfanyi biashara ambaye anatakiwa kwenda jela kutokana na bishara zake zinazowakandamiza Zimbabweans.

Kagame calls for African readiness to acquire Covid-19 vaccine
 
Naona Strive tayari alishazianza hizo harakati kitambo, hapo ni kama Kagame amekazia tu kwamba Jamaa apate support ya appointed HOS mmoja ili kuspeed up procurement procedure..

Nadhani Strive alishaona fursa kwenye hili dili akawa ameshajiingiza humo mapema
 
Tuambie huyo Masiyiwa ni nani?, Mfanyabiashara wa nini? na hizo dhulma alizofanya ni zipi?
Masiyiwa amesoma electrical engineering, na alikuwa mfanyakazi wa shirika la simu Zimbabawe na kipenzi sana wa Mugabe. Miaka ya tisini alifanikiwa kupewa license pekee ya kuanzisha kampuni ya simu za mkononi Zimbabawe - Econet. Alipotajirika, akawa hana taimu na Mugabe tena ndipo akakimbilia South Afrika ambako amekuwa anakaa kwa zaidi ya miaka 20
 
Huyo jamaa ni mjanja sana kwenye hela ana kampuni za tender mambo ya mitaro ya maji SA na umeme ya pesa nyingi miaka mitatu nyuma kampuni yake ilikua inafanya ukarabati mambo ya umeme bwawa la mtera mtu akiwa kichwa usibaki kuponda tuu haisaidii kitu...
 
Back
Top Bottom