Masiyiwa amesoma electrical engineering, na alikuwa mfanyakazi wa shirika la simu Zimbabawe na kipenzi sana wa Mugabe. Miaka ya tisini alifanikiwa kupewa license pekee ya kuanzisha kampuni ya simu za mkononi Zimbabawe - Econet. Alipotajirika, akawa hana taimu na Mugabe tena ndipo akakimbilia South Afrika ambako amekuwa anakaa kwa zaidi ya miaka 20Tuambie huyo Masiyiwa ni nani?, Mfanyabiashara wa nini? na hizo dhulma alizofanya ni zipi?
Huyo jamaa ni mjanja sana kwenye hela ana kampuni za tender mambo ya mitaro ya maji SA na umeme ya pesa nyingi miaka mitatu nyuma kampuni yake ilikua inafanya ukarabati mambo ya umeme bwawa la mtera mtu akiwa kichwa usibaki kuponda tuu haisaidii kitu...Masiyiwa amesoma electrical engineering, na alikuwa mfanyakazi wa shirika la simu Zimbabawe na kipenzi sana wa Mugabe. Miaka ya tisini alifanikiwa kupewa license pekee ya kuanzisha kampuni ya simu za mkononi Zimbabawe - Econet. Alipotajirika, akawa hana taimu na Mugabe tena ndipo akakimbilia South Afrika ambako amekuwa anakaa kwa zaidi ya miaka 20