Tetesi: Rais Pierre Nkurunziza Madarakani hadi mwaka 2034 katiba mpya

muniri mohamed

New Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
1
Reaction score
0

79FcrHNqYmiLxsPklJIl1pzj8dT5gwFd3wzeth49640sk24pyy5WIDUuu7Z_i_Z6W8A0wM0L9q-bWqzPNecm3bma3CXD31xLtwsodOQoE523yYZSVeqZl99EbXfUwhfnNc2OImTg6_OhMNpw2EOQohM65w=s0-d
Rais Pierre Nkurunziza
Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
Kwa mujibu wa matokeo ya kura za mabadiliko ya katiba yaliyotangazwa na Tume ya uchaguzi ya nchi hiyo siku ya jana yameonesha kuwa asilimia 73 ya wapiga kura wote wameunga mkono mabadiliko hayo ya katiba.
Mabadiliko hayo ya katiba ni pamoja na kurefusha muhula wa Rais kutoka miaka mitano hadi saba na kwa mabadiliko hayo yatamfanya Rais Nkurunziza kugombea tena kipindi cha mihula mingine miwili baada ya awamu yake sasa kumalizika mwaka 2020.
Hata hivyo, Serikali ya Marekani kupitia kwa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Heather Nauert imesema kuwa mchakato wa kura za maoni juu ya mabadiliko hayo ulikuwa na dosari nyingi na haukuwa wa uwazi.

“Mchakato wa kura za maoni ulikuwa na dosari ya kutokuwepo uwazi, kufungiwa kwa vyombo vya habari, na jaribio la kuwashinikiza wapiga kura yanakwenda kinyume na makubaliano ya msingi katika kuunda serikali ya umoja wa kitaifa uliofikiwa nchini Arusha,” amesema Bi. Nauert kwenye taarifa yake aliyoitoa jana kwa Vyombo vya Habari.
EY6GviE3_normal.jpg

Heather Nauert

✔@statedeptspox

The May 17 referendum process in [HASHTAG]#Burundi[/HASHTAG] was marred by a lack of transparency, the suspension of media outlets, and attempts to pressure voters. We call on the government to respect its citizens’ rights to freedom of expression, assembly, and association. Referendum in Burundi
7:24 PM - May 21, 2018
mX4-t8hI

Referendum in Burundi
state.gov

  • 108

  • 75 people are talking about this
Twitter Ads info and privacy

Burundi iliingia katika makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ili kuondoa machafuko ya vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Wahutu na Watutsi. Na kwa mabadiliko ya sasa ya Katiba yataruhusu nchi hiyo kuwa na Waziri Mkuu.

Mwezi uliopita Burundi ilifungia mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC na VoA kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kukiukwa kwa misingi ya sheria za matangazo.
 
Duh, aisee,
Huu Upepo mbaya tuuombee tu uishie huko huko,
Ameeen
 
Msiruhusu vijana kugombea uraisi au vijana musiwape nafasi ya uraisi haya ndo madhara yake. Mtu anataikiwa astaafu wakati angali kijana atafanya mishe gani?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Namshukuru sana baba wa taifa kuondowa ukabila chini.....hizo kura zinaonyesha idadi ya watusi dhidi ya wa Hutu......pia zinafuatana kagame analo fanya Rwanda(mtusi) lazma na(Nkuruzinza Mhutu)Burundi ilipize
 
79FcrHNqYmiLxsPklJIl1pzj8dT5gwFd3wzeth49640sk24pyy5WIDUuu7Z_i_Z6W8A0wM0L9q-bWqzPNecm3bma3CXD31xLtwsodOQoE523yYZSVeqZl99EbXfUwhfnNc2OImTg6_OhMNpw2EOQohM65w=s0-d
Rais Pierre Nkurunziza
Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
Kwa mujibu wa matokeo ya kura za mabadiliko ya katiba yaliyotangazwa na Tume ya uchaguzi ya nchi hiyo siku ya jana yameonesha kuwa asilimia 73 ya wapiga kura wote wameunga mkono mabadiliko hayo ya katiba.
Mabadiliko hayo ya katiba ni pamoja na kurefusha muhula wa Rais kutoka miaka mitano hadi saba na kwa mabadiliko hayo yatamfanya Rais Nkurunziza kugombea tena kipindi cha mihula mingine miwili baada ya awamu yake sasa kumalizika mwaka 2020.
Hata hivyo, Serikali ya Marekani kupitia kwa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Heather Nauert imesema kuwa mchakato wa kura za maoni juu ya mabadiliko hayo ulikuwa na dosari nyingi na haukuwa wa uwazi.

“Mchakato wa kura za maoni ulikuwa na dosari ya kutokuwepo uwazi, kufungiwa kwa vyombo vya habari, na jaribio la kuwashinikiza wapiga kura yanakwenda kinyume na makubaliano ya msingi katika kuunda serikali ya umoja wa kitaifa uliofikiwa nchini Arusha,” amesema Bi. Nauert kwenye taarifa yake aliyoitoa jana kwa Vyombo vya Habari.
EY6GviE3_normal.jpg

Heather Nauert

[emoji818]@statedeptspox

The May 17 referendum process in [HASHTAG]#Burundi[/HASHTAG] was marred by a lack of transparency, the suspension of media outlets, and attempts to pressure voters. We call on the government to respect its citizens’ rights to freedom of expression, assembly, and association. Referendum in Burundi
7:24 PM - May 21, 2018
mX4-t8hI

Referendum in Burundi
state.gov

  • 108

  • 75 people are talking about this
Twitter Ads info and privacy

Burundi iliingia katika makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ili kuondoa machafuko ya vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Wahutu na Watutsi. Na kwa mabadiliko ya sasa ya Katiba yataruhusu nchi hiyo kuwa na Waziri Mkuu.

Mwezi uliopita Burundi ilifungia mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC na VoA kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kukiukwa kwa misingi ya sheria za matangazo.
ALLAH hapa ndio huwa ananifurahisha sana kuchukua hivi vitoto vya Hilter bado wale wengine Mr slim n Mr Kipara [emoji3]
 
Corona ipo wadau. Mkewe Nkurunzinza alilazwa Aga Khan Nairobi juma lililopita kwa kuugua Corona.
 
Wacha akatawale huko kuzimu, hawa ndiyo walewale!!

Mungu nisamehe ila hawa wapewe wanachostahili.
Ni ujinga kufurahia kifo cha binadamu mwenzako! Kwani wewe ni immortal?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom