Rais Putin amekosea hatua?

Rais Putin amekosea hatua?

battawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
2,712
Reaction score
2,577
Ndugu wana ukumbi na wafuatiliaji mada za vita vya Russia na Ukrain.

Mimi siiangalii Vita vya Ukrain katika mtazamo wa kivita ,bali mtazamo wa kiuchumi na mgeuko wa mfumo wa uchumi Dunuani.

Nasikitika sana na maamuzi aliyofanya Raisi wa Russia kwa kuivamia Ukrain.

Nahisi ali under estimate reaction ya nchi za Magharibi. Huenda vita hii ika iingiza Urusi kwenye mgogoro mzito na hatimae ikamlazimu atumie silaha nzito za maangamizi.

Kosa lake la kwanza :

1. Mfumo wa Uchumi unadhibitiwa na Marekani na ndugu zake wa Magharibi.

2. Monetary system iko chini ya banki kuu ya Washington na US $ ndiyo inayohukumu transanction ya dunia .

3. Vikwazo vya kuuza na kununua vitaiangusha Russia na hatimae raia wake wataingia mitaani na kumletea vugu vugu la Civil War.

Kosa la pili.

1. Pale Urusi iliposhindwa kuihami Libya na Kumtetea Ghadafi ilifanya kosa kubwa la jinai. Kwani Ghadafi alikuwa na mpango wa kuanzisha New World monetary System. Badala ya kutumia US $ katika biashara za kimataifa ,alitaka itumike Dhahabu.

2. Putin akitaka kusalimika na Mfumo huu uliopo ilimbidi aanzishe mfumo mpya wa uchumi ambao ungelikuw huru na Taifa fulani, na yo ni kutumia sarafu ya Dhabu badala ya US $.

3. Kama hilo halitofanyika kabla puttin kuliwa na Russia kutekwa na Western Block basi Urussi ijiandae kwa maangamizi au vita kuu ya 3.

Hitimisho;-
Kama China itakuwa tayari kumsaidia mrusi, basi ni kubadili mfumo wa uchumi, kuiporomosha US $ isiwe tena World currency kibiashara , na badala yake watumie mfumo aliotaka kuaanzisha Marehemu Ghadafi na Mwenzake Raisi wa Malasia ( Makhatir Muhammad).

Putin Awashawishi waarabu waache kuuza mafuta kwa $ na badala yake watumie Gold, hii itakuwa sete back kubwa kwa Marekani na ndi Mwisho wake.

Lakin Tayari marekani ameanza kufanya Mazungumzo na Iran ili amuondoshee vikwazo na aanze kuuza Mafuta yake ili kuondoa pengo la Urusi.

Naamini Iran anaweza kukubali, lakini Kama Mrusi atacheza vizuri mchezo wke na mchina , anawza kumshawishi Muiran asikubali mtego wa Magharibi wa kimaslahi.

Waarabu nao ni tatizo, kwani endapo Russia itaweza kuwalobby waarabu na kuwahakikishia usalama wa uchumi wao, Mrusi anaweza ku win, lakini Marekani tayari ndiye Allies wa Waarabu, wao huuza mafuta yao kw US $ na kujilimbikizia pesa nyingi katika mabenki ya Ulaya na Marekani.

Kimtazamo si rahisi kwa waarabu kumuunga mkono Mrusi, Labda Iraq ambayo Saadamu alikuwa na mchakato huo na kumsababishia kuuwawa na nchi yake kupindulwa na kuwekwa utawla mwingine..

Swali la Kujiuliza
Jee Mrusi atafaulu pekeyake?
Naishia hapo kwa sasa
 
Hii vita ni yetu sote. Tayari beberu ameshazionya nchi za kiafrika kuwa haziwezi kutokuegemea upande wowote, ni lazima zichague kuwa upande wa Urusi au Ukraine.
 
Target kubwa ya Putin ilikuwa kuwafitinisha Ulaya hasa Ujerumani na Ufaransa zidi ya Marekani,sasa imekuwa tofauti na target ambapo Ulaya na Marekani wamekuwa wamoja zaidi kuliko wakati wowote ule. Na pia imemfanya Ujerumani kupiga u-turn ya hali ya juu kuelekea Urusi na swala nzima la ulinzi wake Ujerumani alikuwa anasita kutimiza sharti la NATO la kutumia asilimia 2% ya bajeti kwenye Jeshi,sasa hivi kasema atatimiza hilo lengo. Kwa hiyo hapa Putin kafeli 99%.
 
Mimi naomba tu vita isiishe waendelee kutwangana hatimae walipuane na nyuklia halafu tuanze upya haki ya nani waafrika weusi wataibuka superpower. Kama humankind tutaanza upya mmatumbi tutatawala dunia na kuwa super. Hakuna qayngay yeyote atatudanganya tena nakutugawanya kwasabab tumepitia, yote, tumeona na kujifunza. Na tumewajua mbinu zao.

Hii vita ni kuniombea tu isiishe na nyuklia zitumike.
 
Ndugu wana ukumbi na wafuatiliaji mada za vita vya Russia na Ukrain.

Mimi siiangalii Vita vya Ukrain katika mtazamo wa kivita ,bali mtazamo wa kiuchumi na mgeuko wa mfumo wa uchumi Dunuani.

Nasikitika sana na maamuzi aliyofanya Raisi wa Russia kwa kuivamia Ukrain.

Nahisi ali under estimate reaction ya nchi za Magharibi. Huenda vita hii ika iingiza Urusi kwenye mgogoro mzito na hatimae ikamlazimu atumie silaha nzito za maangamizi.

Kosa lake la kwanza :

1. Mfumo wa Uchumi unadhibitiwa na Marekani na ndugu zake wa Magharibi.

2. Monetary system iko chini ya banki kuu ya Washington na US $ ndiyo inayohukumu transanction ya dunia .

3. Vikwazo vya kuuza na kununua vitaiangusha Russia na hatimae raia wake wataingia mitaani na kumletea vugu vugu la Civil War.

Kosa la pili.

1. Pale Urusi iliposhindwa kuihami Libya na Kumtetea Ghadafi ilifanya kosa kubwa la jinai. Kwani Ghadafi alikuwa na mpango wa kuanzisha New World monetary System. Badala ya kutumia US $ katika biashara za kimataifa ,alitaka itumike Dhahabu.

2. Putin akitaka kusalimika na Mfumo huu uliopo ilimbidi aanzishe mfumo mpya wa uchumi ambao ungelikuw huru na Taifa fulani, na yo ni kutumia sarafu ya Dhabu badala ya US $.

3. Kama hilo halitofanyika kabla puttin kuliwa na Russia kutekwa na Western Block basi Urussi ijiandae kwa maangamizi au vita kuu ya 3.

Hitimisho;-
Kama China itakuwa tayari kumsaidia mrusi, basi ni kubadili mfumo wa uchumi, kuiporomosha US $ isiwe tena World currency kibiashara , na badala yake watumie mfumo aliotaka kuaanzisha Marehemu Ghadafi na Mwenzake Raisi wa Malasia ( Makhatir Muhammad).

Putin Awashawishi waarabu waache kuuza mafuta kwa $ na badala yake watumie Gold, hii itakuwa sete back kubwa kwa Marekani na ndi Mwisho wake.

Lakin Tayari marekani ameanza kufanya Mazungumzo na Iran ili amuondoshee vikwazo na aanze kuuza Mafuta yake ili kuondoa pengo la Urusi.

Naamini Iran anaweza kukubali, lakini Kama Mrusi atacheza vizuri mchezo wke na mchina , anawza kumshawishi Muiran asikubali mtego wa Magharibi wa kimaslahi.

Waarabu nao ni tatizo, kwani endapo Russia itaweza kuwalobby waarabu na kuwahakikishia usalama wa uchumi wao, Mrusi anaweza ku win, lakini Marekani tayari ndiye Allies wa Waarabu, wao huuza mafuta yao kw US $ na kujilimbikizia pesa nyingi katika mabenki ya Ulaya na Marekani.

Kimtazamo si rahisi kwa waarabu kumuunga mkono Mrusi, Labda Iraq ambayo Saadamu alikuwa na mchakato huo na kumsababishia kuuwawa na nchi yake kupindulwa na kuwekwa utawla mwingine..

Swali la Kujiuliza
Jee Mrusi atafaulu pekeyake?
Naishia hapo kwa sasa
Umechambua vizuri lakini hapa hakuna option Marekani aliyaona haya kitambo na kuwahi hili soko kuweza kuwekeza kwenye mataifa mengi duniani kwa sasa ni shida nchi kuanza kufikiria kutoka kwenye $ sijuwi waende kwenye Gold kwa sababu ya Russia ambaye anaonekana wazi wazi washirika wake ni wachache ukitoa china labda na hao korea.

Tutegemee anguko kubwa la kiuchumi kwa taifa la Russia, China ni mjanja mjanja mana na yeye hana ubavu kujitoa kabisa kabisa West akifanya mchezo na yeye ataenda maji
 
Why Qaddafi had to go: African gold, oil and the challenge to monetary imperialism​

What was NATO's violent intervention in Libya really all about? Now we know, writes Ellen Brown, thanks to Hillary Clinton's recently published emails. It was to prevent the creation of an independent hard currency in Africa that would free the continent from economic bondage under the dollar, the IMF and the French African franc, shaking off the last heavy chains of colonial exploitation.
1647606388420.png

Qaddafi's government holds 143 tons of gold, and a similar amount in silver. This gold was intended to establish a pan-African currency based on the Libyan golden Dinar. This plan was designed to provide Francophone Africa with an alternative to the CFA.1647606388420.png
 
Hivi ndivyo dunia inavyozungumza leo. Utasikia Ugaidi, siasa kali, IS alkaida Nk , lakini ukweli ni kwamba Power hutumika kuboesha uchumi wa nchi za magharibi.
Afghani ilivamiwa kwa kisingizio cha Usama, lakini malengo ni kuikalia na kuchimba Maini a Uranium.
Somalia halkadhalika.
Iraq ilitakiwa ili kudhibiti mafuta. nk.

Kwa hiyo vita hii ya Ukrain ipo zaidi kiuchumi na usalaa wa Russiah
 
Umechambua vizuri lakini hapa hakuna option Marekani aliyaona haya kitambo na kuwahi hili soko kuweza kuwekeza kwenye mataifa mengi duniani kwa sasa ni shida nchi kuanza kufikiria kutoka kwenye $ sijuwi waende kwenye Gold kwa sababu ya Russia ambaye anaonekana wazi wazi washirika wake ni wachache ukitoa china labda na hao korea.

Tutegemee anguko kubwa la kiuchumi kwa taifa la Russia, China ni mjanja mjanja mana na yeye hana ubavu kujitoa kabisa kabisa West akifanya mchezo na yeye ataenda maji

Ni kweli unajua hapa kuna kitu kinaitwa ushawishi wa uchumi, sasa mtu kama China 75% ya soko lake liko west aamue kuachana na $$ anamuuzia nan? Habari ya kusema sijui atafanya biashara na russia cjui india etc ni kujifariji kwan miaka yoote si wapo mbona wasifanye? Putin ali miscalculate na asipoangalia huu ni mwisho wake wa ufalme wala sio west watamtoa ni wa rus wenyewe, leo hii matajir nchi ile wanaonja joto ya jiwe sawa sawa mali zao ziko froozed everywhere, hakuna anaesafiri, wanajeshi wanakufa daily ukraine, amepoteza vifaa kibao, sasa hii vita faida yake ninini, sawa hebu tuseme kaipata Ukraine yoote alaf then? Anaendeahaje hio nchi kwa muda gan? Ni uwendawazim wa juu kwamba taifa kama taifa linaweza kufanya kila kitu lenyewe hata US hawez
 
Mimi naomba tu vita isiishe waendelee kutwangana hatimae walipuane na nyuklia halafu tuanze upya haki ya nani waafrika weusi wataibuka superpower. Kama humankind tutaanza upya mmatumbi tutatawala dunia na kuwa super. Hakuna qayngay yeyote atatudanganya tena nakutugawanya kwasabab tumepitia, yote, tumeona na kujifunza. Na tumewajua mbinu zao.

Hii vita ni kuniombea tu isiishe na nyuklia zitumike.
Labda atawalale mbususu kama jina lako
 
Tatizo Hamtaki kusoma.....Lakini mnataka Maarifa kizazi cha hovyo sana...Unafikiri Hii ni Bongo fleva hapa tunaongea masuala kama huwezi nenda Face book...ukaandike (xawaa xukurani...xaxa )
Halafu ndio hawa hawa vijiweni wanasimulia kama wako Kremlini na ni wabishi kama nini
 
Ndugu wana ukumbi na wafuatiliaji mada za vita vya Russia na Ukrain.

Mimi siiangalii Vita vya Ukrain katika mtazamo wa kivita ,bali mtazamo wa kiuchumi na mgeuko wa mfumo wa uchumi Dunuani.

Nasikitika sana na maamuzi aliyofanya Raisi wa Russia kwa kuivamia Ukrain.

Nahisi ali under estimate reaction ya nchi za Magharibi. Huenda vita hii ika iingiza Urusi kwenye mgogoro mzito na hatimae ikamlazimu atumie silaha nzito za maangamizi.

Kosa lake la kwanza :

1. Mfumo wa Uchumi unadhibitiwa na Marekani na ndugu zake wa Magharibi.

2. Monetary system iko chini ya banki kuu ya Washington na US $ ndiyo inayohukumu transanction ya dunia .

3. Vikwazo vya kuuza na kununua vitaiangusha Russia na hatimae raia wake wataingia mitaani na kumletea vugu vugu la Civil War.

Kosa la pili.

1. Pale Urusi iliposhindwa kuihami Libya na Kumtetea Ghadafi ilifanya kosa kubwa la jinai. Kwani Ghadafi alikuwa na mpango wa kuanzisha New World monetary System. Badala ya kutumia US $ katika biashara za kimataifa ,alitaka itumike Dhahabu.

2. Putin akitaka kusalimika na Mfumo huu uliopo ilimbidi aanzishe mfumo mpya wa uchumi ambao ungelikuw huru na Taifa fulani, na yo ni kutumia sarafu ya Dhabu badala ya US $.

3. Kama hilo halitofanyika kabla puttin kuliwa na Russia kutekwa na Western Block basi Urussi ijiandae kwa maangamizi au vita kuu ya 3.

Hitimisho;-
Kama China itakuwa tayari kumsaidia mrusi, basi ni kubadili mfumo wa uchumi, kuiporomosha US $ isiwe tena World currency kibiashara , na badala yake watumie mfumo aliotaka kuaanzisha Marehemu Ghadafi na Mwenzake Raisi wa Malasia ( Makhatir Muhammad).

Putin Awashawishi waarabu waache kuuza mafuta kwa $ na badala yake watumie Gold, hii itakuwa sete back kubwa kwa Marekani na ndi Mwisho wake.

Lakin Tayari marekani ameanza kufanya Mazungumzo na Iran ili amuondoshee vikwazo na aanze kuuza Mafuta yake ili kuondoa pengo la Urusi.

Naamini Iran anaweza kukubali, lakini Kama Mrusi atacheza vizuri mchezo wke na mchina , anawza kumshawishi Muiran asikubali mtego wa Magharibi wa kimaslahi.

Waarabu nao ni tatizo, kwani endapo Russia itaweza kuwalobby waarabu na kuwahakikishia usalama wa uchumi wao, Mrusi anaweza ku win, lakini Marekani tayari ndiye Allies wa Waarabu, wao huuza mafuta yao kw US $ na kujilimbikizia pesa nyingi katika mabenki ya Ulaya na Marekani.

Kimtazamo si rahisi kwa waarabu kumuunga mkono Mrusi, Labda Iraq ambayo Saadamu alikuwa na mchakato huo na kumsababishia kuuwawa na nchi yake kupindulwa na kuwekwa utawla mwingine..

Swali la Kujiuliza
Jee Mrusi atafaulu pekeyake?
Naishia hapo kwa sasa
Pumba
 
Wajinga bado ni wengi duniani, hatuwezi kushangaa,
Hata yule nayesema wapigane mpaka Nyuklia, kisha Afrika ndiyo tutakuwa super power ,naye pia hajijui.
Hivi ni nchi gani Afrika inaweza kutengeneza hata Baiskeli?
Kama si uwepo wa wazungu au wachina au wahindi ,basi nchi zetu zitabaki kama mbuga za wanyama tuu.
isi bado hatuwezi wala hatutoweza.
Ni tegemezi mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom