Rais Putin: Wao wabaki na Ushoga wao, wasitulazimishe

Rais Putin: Wao wabaki na Ushoga wao, wasitulazimishe

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa.

Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu wenye Uwezo wa akili wa Ziada, Mtu anaielezea Dunia mithili kama kaichora yeye mwenyewe.

Wengine tunaambuliwa kuambiwa 'Vumbi la kongo!

Pumzika Kwa Amani JPM

 
Yupo sahihi sana kuhusu ushoga. Kila nchi isimamie misingi ya maadili yake bila kupangiana.

Hayupo sahihi katika unyang'anyi wa ardhi huko Ukraine. Si sawa kumega kipande cha nchi nyingine na kukifanya chako sababu unaweza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom