Serikali ya Afrika Kusini haina namna kwa sababu ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa na hao wananchi ndio wenye sauti katika uchaguzi hivyo serikali inabidi utulie tu haina jinsi.
Ingekuwa hapa polisi na wasiojulikana wangeishapotea na hao wanaowachukia wageni kwa sababu uchaguzi wa hapa uhusisha ccm peke yao huku vyama vingine vikiwa watazamaji.