Rais Ruto aalikwa na Jumuiya ya Ulaya Kwenye Kikao cha Amani kati ya Urusi na Ukraine

Rais Ruto aalikwa na Jumuiya ya Ulaya Kwenye Kikao cha Amani kati ya Urusi na Ukraine

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi.

Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake.

Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
 
Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi

Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake

Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
Mbona CHAWA wanatuambia kwamba ndo alama ya uongozi Barani Africa?
 
Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi

Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake

Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
Huo mkutano kaandaa nani?? Wahudhuriaji ni akina nani??? Mkutano umeandaliwa na hao hao wamagharibi waendesha vita. Kenya inajulikana ni kibaraka wai since Uhuru wao. Juzi Marekani kampandisha cheo Kenya kuwa None Nato allie. Lengo ni nini??
Biden pia hahudhurii huo mkutano ndio maana Zelensky analalamika sana.
African Union wanawakilishwa na nani??
Maana Kenya haaminiki popote Africa mpaka aww mwakilishi maana Kenya always ipo kwaajili ya maslahi ya mabeberu tu.
 
Ruto Yuko vizuri na mtu wa maamuzi.sasa wangemwalika yule mla ulojo angeshauri uamuzi Gani huko kwenye barazala usalama?angekuwa anawaambia tu mkalitazame.wameona huyu wakualika kwenye ufunguzi wa albamu za mziki
 
Urojo anaeula ni mamako we mbwa usiye na haya
 
Back
Top Bottom