Rais Ruto aanza kampeni kumuunga Mkono Raila Odinga awe Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU)

anamtafutia kazi safi namna hiyo na ni mtu wa fujo? πŸ’

ni ngumu sana, ni ngumu mno,
Japo inawezekana πŸ’

ni rahisi sana kwa JK
 
Namuonea huruma mzee Odinga maana kikwete anashinda
 
Sijui wanaupendea nini Urais, namuona Ruto kishazeeka kabla ya siku zake, wanaingia na siha njema wanakuja kukongoroka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…