Rais Ruto aanza kunyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha yakiwemo ya Kenyatta

Kokolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2008
Posts
1,985
Reaction score
3,310
Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne.

Wakati huo wale veterans na familia zao hazina mashamba. Hivyo serikali chini ya Rais Ruto wameanza mkakati wa kuchukuwa mashamba hayo na kuwagawia hao veterans na familia zao nao wawe na mashamba ya kulima.

Your browser is not able to display this video.
 
Sio Kenya ya Wakikuyu. Hilo Ni changa la macho kuwahadaa Wakazi wa Kibera
 
Itakuwa ni jambo jema ikiwa common hustlers wanaenda kupata mgao wa ardhi iliyokaliwa miaka nenda rudi na familia chache za mabwanyenye...........Ruto na makamu wake waungwe mkono kwa hili.
 
Ame2abana kwenye kodi familia ya Kenyatta hadi kwa mara kwanza mama yake Kenyatta mama Ngina kaita vyombo vya habari kulalamika familia yao kuandamwa na Ruto
 
Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne...
Ni suala la muda tu Samia ataenda kuwakilisha taifa letu kwenye msiba huko Nairobi.
 
Ame2abana kwenye kodi familia ya Kenyatta hadi kwa mara kwanza mama yake Kenyatta mama Ngina kaita vyombo vya habari kulalamika familia yao kuandamwa na Ruto
Emu fafanua mimi sijaelewa umesemaje
 
Raila naye atanyanganywa?

Zichukuliwe tu kama kulima wameshalima mpaka zimeisha.rutuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…