Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hatimae sakata la comedy kati ya wanaume wawili
Halmashauri ya Nairobi
Na kampuni ya umeme ya Kenya
Rais Ruto ameingilia kati na kuaguza umeme urudishwe HALMASHAURI
Na halmashauri ya jiji la Nairobi wakasafisheeee eneo walilomwaga takatakaaa
Aisee hizi bf nilijua ziko kwenye ndoa tu hadi maofisini kha
Pia soma > Kampuni ya Umeme yaikatia huduma Ofisi ya Halmashauri, nayo yamwagiwa Uchafu mlangoni kwa kudaiwa kodi na Halmashauri