Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 27, 2025 #1 Hatimae sakata la comedy kati ya wanaume wawili Halmashauri ya Nairobi Na kampuni ya umeme ya Kenya Rais Ruto ameingilia kati na kuaguza umeme urudishwe HALMASHAURI Na halmashauri ya jiji la Nairobi wakasafisheeee eneo walilomwaga takatakaaa Aisee hizi bf nilijua ziko kwenye ndoa tu hadi maofisini kha Pia soma > Kampuni ya Umeme yaikatia huduma Ofisi ya Halmashauri, nayo yamwagiwa Uchafu mlangoni kwa kudaiwa kodi na Halmashauri
Hatimae sakata la comedy kati ya wanaume wawili Halmashauri ya Nairobi Na kampuni ya umeme ya Kenya Rais Ruto ameingilia kati na kuaguza umeme urudishwe HALMASHAURI Na halmashauri ya jiji la Nairobi wakasafisheeee eneo walilomwaga takatakaaa Aisee hizi bf nilijua ziko kwenye ndoa tu hadi maofisini kha Pia soma > Kampuni ya Umeme yaikatia huduma Ofisi ya Halmashauri, nayo yamwagiwa Uchafu mlangoni kwa kudaiwa kodi na Halmashauri
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 2, 2025 #2 Sawa sawa