Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Aug 13, 2024 #1 Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao. Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake. Ingekuwa bongo, tungeambiwa hao wote pichani ni TISS
Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao. Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake. Ingekuwa bongo, tungeambiwa hao wote pichani ni TISS
H hakomana sekemesekeme JF-Expert Member Joined Oct 15, 2023 Posts 646 Reaction score 1,568 Aug 13, 2024 #2 wewe unahisi ninani hao? kwanini asiende Kwachoka mbaya?
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 13, 2024 #3 Huku mama kawatuma wakusanya mapato wapite nyumba Kwa nyumba kunusa km Kuna shughuli yyt inafanyikia bac watozwe Kodi ya sh 50000 elfu Kwa shughulii .🤪🤪🤪🤪 Kazi iendeleee..
Huku mama kawatuma wakusanya mapato wapite nyumba Kwa nyumba kunusa km Kuna shughuli yyt inafanyikia bac watozwe Kodi ya sh 50000 elfu Kwa shughulii .🤪🤪🤪🤪 Kazi iendeleee..