Rais Ruto apunguza Mafao ya Marais Wastaafu kwa Tsh. Billioni 2

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Rais William Ruto apunguza mafao ya marais wastaafu kwa Tshs Billioni 2 kama sehemu ya kubana matumizi kulingana na bajeti mpya ya mwaka 2024/2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msimamizi wa Ikulu Katoo Ole Metito, bajeti iliyokuwa imeidhinishwa kwa ajili ya Ikulu imepunguzwa kutoka Tsh. bilioni 194 hadi Tsh. bilioni 89, bajeti hiyo ikipunguzwa kwa 54%.

Moja ya programu zilizoathirika zaidi ni Mafao ya Marais Wastaafu yaliyopunguzwa kutoka Tshs. billioni 13 hadi Tsh. Billioni 11.

=================For English Audience Only====================
President William Ruto has reduced the benefits for retired presidents by Ksh.99 million as part of his austerity measures to align with the newly revised 2024/2025 budget.

In a statement by State House Comptroller Katoo Ole Metito, the approved budget for State House was reduced from Ksh.9.496 billion to Ksh.4.382 billion, a budget cut by 54 per cent.

One of the most affected programs was the benefits allocated to retired presidents which was lowered from Ksh.646.69 million to Ksh.547.45 million.

Another program that was mostly affected include the refurbishment of eight State Lodges across the country including Nairobi, Kakamega, Nakuru, Eldoret, Sagana, Mombasa, Kisumu and Mtito Andei. The allocated budget was reduced to zero.

The government had also set aside a Ksh.696 million budget to the office of the First Lady to cater for four programs based on women empowerment, climate change, promotion of social justice and protection of children in safe homes and safe families.

For instance, her office was set to receive Ksh. 4 million to plant 500 million trees across the country. The amount has also been revised to zero.

Additionally, the government also reduced expenditure on presidential visits, national celebrations, state hospitality and maintenance of both residential and non-residential buildings.

On June 11, 2024, former president Uhuru Kenyatta alleged that the State had only allocated Ksh.28 million of the required Ksh.646 million to his Office, translating to 4.4 per cent of the amount.

SOURCE: CITIZEN DIGITAL
 
Safi sana rutooo
 
Bongo utasikia siku wanapeleka muswada wa kuwalipa mafao waliokuwa mawaziri na wenza wao!
Na bado chawa watampongeza mama yao kwa kuupiga mwingi.
 
Ruto ni Rais bora kabisa kutokea EA tokea dunia iumbwe.Ni msikivu asiye na kibri
 
Pongezi kwa Ruto kwa kusikia kilio cha gen z !
 
Ruto ni Rais bora kabisa kutokea EA tokea dunia iumbwe.Ni msikivu asiye na kibri
Ni kweli na hao watoto wadogo hapo kenya wasijitoe akili kuna mahali atasema enough is enough na atakuwa sahihi
Hoja zao nyingi zimejibiwa sasa watulie waache kazi ifanyike
Hakuna mtu ambaye atawafaa zaidi
 
Nataka waje wale waliokuwa wanabisha, tukiwaambia Serikali inatakiwa ibane matumizi. Mmeona Gen Z wamewabana na imewezekana.

Nchi ndiyo kwanza inaendelea why mnalipana mishahara ya laana? Magari ya anasa? Mkiacha ufisadi, rushwa ikidhibitiwa, mishahara yote mikubwa ikashushwa, vitu visivyo vya lazima vikatolewa kwenye bajeti. Hizi nchi za Afrika, zitafika mbali sana. Bravo Gen Z wa Kenya... uganda Next...
 
Unaogopa kuitaja TZ utapewa kesi ya ugaidi? 😂
 
Back
Top Bottom