Rais Ruto: Kwa sababu Finance Bill imekwama tunaenda Kubana Matumizi kuanza ofisi ya Rais hadi Kwa Wafagizi, Mafisadi watakiona Chamoto!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali

Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk

Source: Citizen Tv
 
Watumishi hawanaga shida na matumizi ya anasa

Shida iko kwa watawala wakipunguza anasa na safari sisizo na tija.

Hapa kwetu pamoja na kuwa raisi mwendawazimu lakini aliweza kudhibiti matumizi ta serikali

Magufuli hakusafiri na watendaji wake hawakusafiri kiholela

Kwa hiyo hakuna jipya Ruto awatumikie nduguze
 
Watumishi wa chini sasa utabana matumizi gani hata posho hawana

Labda wapunguze za wabunge na maafisa wa maofisi makubwa

Wasio na posho wanaotegemea mshahara tu hata ukibana mwisho utakuwa banio bure wenzio wanadunda tu na salary ya 360K monthly wamezoea mpaka wanajenga na nyumba
 
Rais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali

Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk

Source: Citizen Tv
Hakuna mwenye 'Komedi' kumzidi huyo bwana nyakatizetu hizi katika maeneo yetu haya.

Hatimaye watu wamemtambua kwa kazi yake hiyo!

Sijui kama dawa imemwingia sawasawa safari hii.
 
Watumishi hawanaga shida na matumizi ya anasa

Shida iko kwa watawala wakipunguza anasa na safari sisizo na tija.

Hapa kwetu pamoja na kuwa raisi mwendawazimu lakini aliweza kudhibiti matumizi ta serikali

Magufuli hakusafiri na watendaji wake hawakusafiri kiholela

Kwa hiyo hakuna jipya Ruto awatumikie nduguze
Ongeza sautiii walio kuleeeee nyuma hawakusikiii vyema!
 
Rais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali

Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk

Source: Citizen Tv
Ila Africa dah, kumbe kubana bajeti ingewezekana. Sasa why wao viongozi walitaka kula bata wakati wananchi wangesota na kodi??
 
GQ_1VIgXAAAGLl1.jpeg
 
Msala unahama kutoka Kwa vijana wasio na ajira kwenda Kwa wenye ajira na waoijua mifumo...

Wanaenda kuikwamisha serikali mazima.
 
Back
Top Bottom