johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ruto alienda kukodi ndege Dubai. Jamaa kapaniki mbayaRais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali
Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk
Source: Citizen Tv
Siyo hasira. Ni busara kurudi kichwaniHasira mbaya
Watumishi hawanaga shida na matumizi ya anasaRais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali
Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk
Source: Citizen Tv
Hakuna mwenye 'Komedi' kumzidi huyo bwana nyakatizetu hizi katika maeneo yetu haya.Rais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali
Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk
Source: Citizen Tv
Ongeza sautiii walio kuleeeee nyuma hawakusikiii vyema!Watumishi hawanaga shida na matumizi ya anasa
Shida iko kwa watawala wakipunguza anasa na safari sisizo na tija.
Hapa kwetu pamoja na kuwa raisi mwendawazimu lakini aliweza kudhibiti matumizi ta serikali
Magufuli hakusafiri na watendaji wake hawakusafiri kiholela
Kwa hiyo hakuna jipya Ruto awatumikie nduguze
Ila Africa dah, kumbe kubana bajeti ingewezekana. Sasa why wao viongozi walitaka kula bata wakati wananchi wangesota na kodi??Rais Ruto amewaambia Watumishi wa Umma wajiandae kisaikolojia kutimiza matakwa ya Wananchi ambayo ni kupunguza Bajeti ya Serikali
Ruto anesema hatua ya kwanza ni kupunguza Matumizi ya Serikali kila mahali iwe kwenye Magari, Posho nk
Source: Citizen Tv