Rais Samia aache kukwepa majukumu

Sio mimi tu hata boss wa CDF, CIC anayeweza kumtengua CDF muda wowote kama Makonda anajua hamna mkimbizi serikalini.

Mkimbizi nimepoa hapa nacheka tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Moja ya intelligence Kali nchi hii ni Jeshi kupitia MI , hivyo Rais kuambiwa vile wanajua Kila kitu

Yaani CDF apuyange Tena hadharani , najua kwanini mna haha kwa CDF na kwa Taarifa yenu kazi imeshaanza na pia kule Goma Jwtz wameenda kuwafyeka ndugu zenu wa M23
 

Inteligence ya jeshi inajua kutafuta magwanda yao tu that's about it. Hamna kingine cha maana wamefanya.

Madini yanatoroshwa kama kawaida hadi kule Mererani na kila kitu kinaendelea as per usual.

Let me know mkipata mkimbizi aliyeajiriwa serikalini mmoja tu. Mkikosa mjue CDF wenu kapuuzwa in broad daylight.
 
Mkunda hakupaswa kusema taarifa ile iliyoonekana sensitive akiwa hadharani vile. Alipaswa kumfuata Rais ikulu na kisha ikulu ingeifanyia kazi kwa uchunguzi zaidi. Kwa mtazamo wangu taarifa ile kuwekwa hadharani ni kuidhalilisha nchi haswa kitengo cha GSO. Na kama taarifa hiyo ni kweli basi GSO na TISS wajitafakari.
 
Kama unaamini CDF hawezi kupuyanga basi boss wake, CIC, aliyemteua huyo CDF hawezi hata kujaribu kupuyanga. It's just logical. Kama unadhani CIC anaweza kupuyanga basi CDF anaweza kupuyanga as well.

Ok, mkuu. All in all CIC anaweza kuwa amepuyanga, maana CDF yuko kwenye ground kila siku.
 
Rais ni mkuu wa serikali na nchi including hilo jeshi lenyewe.

Ni kweli, ila kwenye issue ya Ulinzi CDF yupo informed Sana. Maana yupo jeshini daily.
 
CDF ni mkubwa kuliko CIC?

Naomba nikuulize swali hivi Rais anaweza kuwa informed juu ya mambo ya polisi kuliko IGP? au Rais anaweza kuwa informed juu ya mambo ya mahakama kuliko Jaji mkuu? Yani Jenerali Mkunda aliyekaa jeshini muda mrefu uje useme hajui kitu kuhusu jeshi na Ulinzi compared kwa Rais Samia aliyekaa madarakani miaka mitatu?
 

Kweli kabisa , baadala watu wajiulize kwanini CDF kasema vile wao wanadai CDF kapuyanga bila kujiuliza mara mbili.
 

Nadhani issue ya kupuyanga haina msingi. Suala la kujiuliza ni kwanini CDF aseme vile alivyosema?. Ameona Nini au ana taarifa gani?
 

Nadhani imebidi aseme hivyo hadharani. Maana itakuwa amepeleka taarifa ila haikufuatwa. Halafu mbona Rais pia katoa taarifa sensitive kuhusu mpango wa kuanzisha vita baada ya uchaguzi mkuu wa 2025
 
Husein Bashe. Huyu akiwahi Hadi kusimamishwa kugombea Ubunge CCM.

Bashe kazaliwa Nzega. Tatizo lenu mnapenda sana kuendeshwa na story za vijiweni. Moreover, mtu aliyezaliwa nje na kuwa naturalized anaweza kushika nafasi yeyote ile TZ isipokuwa Urais na VP ambazo ni lazima uwe mtanzania by birth. So, mkiamua kujifanya mazwazwa kwa kujitoa akili mseme Bashe kazaliwa nje ila kama kawa naturalized basi ni mtanzania kama au zaidi yako.

Acheni kukaa vijiweni.
 
Nadhani issue ya kupuyanga haina msingi. Suala la kujiuliza ni kwanini CDF aseme vile alivyosema?. Ameona Nini au ana taarifa gani?
Ni kweli, ila kwenye issue ya Ulinzi CDF yupo informed Sana. Maana yupo jeshini daily.

Ukijua Rais ni mkuu wa serikali, mkuu wa nchi, na Commander In Chief all-in-one, utajua nani yupo informed zaidi na nani ni boss la maboss.
 
Mawili yangatiwe

(a) itifaki haikuzingatiwa na Jenerali Jmkunda(Jeshi na kizimkazi akabumbia)
(b) kizimkazi madam president , kutokana na ubibi (uzee) masikio hajakusikia ,akaelewa JMkunda kasema wapinzani ni wakimbizi

Hapo juu yote yanawezekana. Kikubwa Imani iongezeke Kwa jeshi la wananchi na mkuu wake na madam kizimkazi apuuzwe na CCM yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…