Rais Samia aache kukwepa majukumu


Huyo mama hakubaliki kabisa.
 

Katiba yetu haina meno.
 
Hii nchi mkinipa 2030 ninawahidi, kufungia sukari hadi uonyeshe kitambulisho cha kuzaliwa, naahidi, maji nitaweka kote nchini, nitajenga shule na kurepea nitaongeza misaada kwa watu wenye uhitaji nitahakikisha TANESCO wamefutwa kama shirika la umeme Tanzania.
 
CDF alikurupuka. Hakuna mkimbizi aliyeteuliwa serikalini.

Mkimbizi akiwa naturalized ana haki ya kushika nafasi yeyote ile isipokuwa nafasi ya Rais na VP ambao ni lazima wawe watanzania by birth. Nafasi zingine zote sio lazima.

Mtu akiwa naturalized hakuna sababu ya kuendelea kubring up ukimbizi wake. Tatizo wabongo wengi wanaamini mtu akiwa mkimbizi anakuwa mkimbizi milele. Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi.

Serikali haiwezi kuteua mkimbizi hata kama serikali ya bongo ni mbaya vp. Maza alimlindia heshima tu ila CDF alipuyanga.
 
Hapa Tanzania, kuwa huru kutoka makucha ya CCM ni mpaka hapo vyombo vya ulinzi na usalama vitakapogawanyika (kwamba, wengine waiunge mkono CCM, na wengine zaidi ya nusu waseme kuilinda CCM, nooo! Hata raia wazalendo ndani ya nchi, hata na nusu ya CCM au zaidi ya moja ya tatu, wote kwa pamoja wakianza kuandamana kuelekea State House. Halafu, police na wanajeshi walio wengi nao wanakaa tu pembeni ya barabara kama vile wanashangaa, na bila kuwapiga waandamanaji. Hakika, ujue ukombozi tayari!
 
Ukute hata hakuelewa kilichosemwa na mkuu wa majeshi.
Uwezo wa kujibu hoja hapo kwa hapo ni kipaji na kinahitaji uelewa na akili za hali ya juu.

Kila ufafanuzi anaotoa inakuwa tayari keshakaririshwa na wasaidizi wake. Kumpa swali la hapo kwa hapo ni sawa na kumpa mwanafunzi mtihani tofauti na aliovujishiwa.

Atakuja kujibu siku za mbeleni baada ya kuandikiwa majibu. Na huo ndio ukomo wa uelewa wake
 

Nitakupigia kura
 

Kama mkuu wa majeshi anakurupuka nani ana uhakika na Hilo jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…