Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Hv?makamo waraisi amechaguliwa nanani?na mh Hossein mwinyi amechaguliwa nanani hebutuanzie hapokwanza

Wote wamechaguliwa na JWTZ kwa kushirikiana na Polisi na Usalama wa Taifa , bila kuwasahau majeshi ya kukodi kutoka Burundi . Pamoja na Tume ya Uchaguzi ya CCM
 
Huyu kama ninajaribu kumsoma vizuri ni kama amefanya Mabadiliko ya Katiba kimyakimya. Anajiona kwa kuwa ni Raisi basi anaweza kufanya mambo bila kuhojiwa. Fikiria mambo ya Kugawa Meli kwa usawa kwa ZNZ na Tanzania Bara.
 
Sasa inahusiana nini mzanzibar/mpemba kumiliki biashara bongo! Kwani wote wanaoishi znz wana hali nzuri!!!!! Ni heri muungano uvunjwe hauna maana.
Wewe umesema wanaishi kama yatima, uyatima wao ni upi? Na je unadhani muungano ukivunjika ndio watakuwa na hali nzuri? Lingine hata huku bara watanganyika wengi hali zao za maisha sio nzuri,unadhani ni kwa sababu ya muungano?
 
Wewe umesema wanaishi kama yatima, uyatima wao ni upi? Na je unadhani muungano ukivunjika ndio watakuwa na hali nzuri? Lingine hata huku bara watanganyika wengi hali zao za maisha sio nzuri,unadhani ni kwa sababu ya muungano?


Nimetolea mfano kama yatima mbona huelewi, jiongeze!

Kuhusu kuvunja muungano Ndioo.,. una faida gani kwao? Ebu nipe hiyo faida wanayoata!!!!
 
Haya malalamiko hayana mashiko hata kidogo kweli Rais wa Zanzibar yupo juu ya Makamu wa Rais huo ndio ukweli tuache mambo mengine. Tulia dawa iingie. Mama jenga kwenu hata mwendazake alijenga kwao ndi chanzo cha kelele hizi. Era imepita tulia.
 




Kwa hiyo, unataka watanganyika wapande hasira na kuona Zanzibar ni kama mkoa fulani wa Tanganyika ⁉️
 
muungano ukivunjika leo basi ujue tanganyika hana kiti umoja wa mataifa,haijawahi kuwa na kiti huko inatumia cha znz
😂😂😂😂
Usisubutu kupiga watoto wako wakiwa wa mwisho darasani.
Sasa tanganyika imepata uhuru 1961 na Zanzibar iliyopata uhuru 1963 nani alitangulia kuwa na seat UN!??
 
Mnaanza kulia lia sasa 😀 tulieni tu..... Wazanzibari walipokuwa wakidai serikali tatu mlikuwa bar mnalewa ama? mtaelewa tu....
 
Huyu kama ninajaribu kumsoma vizuri ni kama amefanya Mabadiliko ya Katiba kimyakimya. Anajiona kwa kuwa ni Raisi basi anaweza kufanya mambo bila kuhojiwa. Fikiria mambo ya Kugawa Meli kwa usawa kwa ZNZ na Tanzania Bara.
Ushawahi kufikiria hela mnayodaiwa na Zanzibar kwenye migao mbali mbali? Boti tu zinawatoa roho
 
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
achilia mbali kuunua kiwanja hata mjumbe wa nyumba kumi huruhusiwi ila wao wanaruhusiwa kugombea u raia number moja(u rais) POLE MTANGANJIKA.
 
sKUMA GANG MTAPATA SHIDA SANA. MNATAKA KUTUCHONGANISHA NA MAMA KWA KUTUMIA GEA YA UTANGANYIKA NA UZANZIBAR. TUMEWASHTUKIA. TATIZO MKO PEKE YENU. SISI TULIO WENGI TUTAMPA MITANO TENA. YAANI MPAKA RAHA!
 
Kwani yeye mwenyewe anasemaje?
TANZANIA NI MUUNGANO WA NCHI MBILI TANGANYIKA NA ZANZIBAR.NI MUUNGANO AMBAO DUNIA NZIMA INAUONEA WIVU.KUTAJWA RAIS WA ZANZIBAR KABLA YA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA NI SAWA KABISA.WOTE WAWILI NI MARAIS.MWINGINE NI MAKAMU AMBAE MWENZA WAKE KWA SASA NI MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR.TUDUMISHE MUUNGANO WETU.WANAOUCHUKIA MUUNGANO WAKAOMBE URAIA WA CANADA.
 
Tulia mpaka hapo utakaposikia Zanzibar ni nchi huru na kutakuwa na serikali 3. Ya Tanganyika, Zanzibar na Muungano. Hapo bado. Huyo ndiyo Mh. Samia.
 
mtazoea tyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…