Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Siyo jeshi hilo. Hao kmk

27 Apr 2021
Zanzibar

MKUU MPYA KMKM AANZA KWA KASI, AWATAKA MAKAMANDA WAKE KUWA NA UTII

Mkuu wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar Komodore Azzana Hassan Msingiri amewataka Makamanda wa kikosi hicho kuwa na Ari na Kumuunga mkono Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za S.M.Z ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dr.Hussein Ali Mwinyi kwani yeye ana matumaini makubwa na kikosi hicho.
Source : J Five online tv
 

Rais wa Zanzibar Dkt.Hussein Mwinyi anakagua gwaride baada ya kula kiapo.

 
Blaa Blaa Blaa, Hujui kuwa wazanzibari hawataki muungano tunawalazimisha tu
 

30 April 2021
Zanzibar

Marekani na Zanzibar zaimarisha tena Mahusiano yao


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman alipotembelewa ofisini kwake kisha mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Marekani nchini Mh. Dr. Donald Wright mjini Unguja Zanzibar
Channel Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
Source : Makamu Wa Kwanza Wa Rais Zanzibar

Nyaraka za Mwaka 1894 Ziliiokoa Kisiwa cha Fungu Mbaraka​

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amesema isingelikuwa jitihada ya serikali rasmi ya Zanzibar iliyoanzishwa 1890 na kuhifadhi kumbukumbu zake kwenye nyaraka za kihistoria, likiwemo Gazeti Rasmi la Serikali ya Zanzibar mwaka 1894, ingelikuwa imepoteza umiliki wa kisiwa maarufu cha Fungu Mbaraka (Latham Island) kilichopo kusini mwa kisiwa cha Unguja.

Mheshimiwa Othman amewaambia maafisa hao kwamba ofisi yao ni muhimu sana sio tu katika kuihabarisha jamii lakini pia kuweka kumbukumbu muhimu za kitaifa. "Uwepo wa nyaraka na kumbukumbu za serikali katika taifa kuna umuhimu mkubwa sana hata katika ukombozi wa rasilimali zetu.

Mfano mzuri, ilitokea sintofahamu juu ya kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka), lakini kwa sababu zilikuwepo kumbukumbu rasmi zilizoandikwa tangu Oktoba mwaka 1898, zilisaidia kukirudisha kisiwa hicho katika himaya ya Zanzibar," alisisitiza.

Kisiwa hicho kisichokaliwa na watu kiko umbali wa maili 36 kutoka Rasi ya Kizimkazi, kina urefu wa mita 320 na upana wa mita 164.5 tu.

Kinatumiwa kama mapumziko ya wavuvi wanaokwenda dago na pia mazalia makubwa ya ndege.

Mheshimiwa Othman amesema yapo mambo mengine mengi ambayo wananchi wanatakiwa kufahamishwa kupitia Gazeti Maalum la Serikali, akitoa mfano wa masuala yanayotokea Bungeni Dodoma na ambayo yanahusu moja kwa moja Mambo ya Muungano.

"Mambo kama haya yanapaswa pia kuwekwa kwenye kumbukumbu na Gazeti Maalum la Serikali," amesema. Makamu huyo wa Kwanza wa Rais amewasihi pia watendaji hao kuweza kutumia karatasi zenye ubora katika kuandikia nyaraka muhimu ili ziweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika.

"Miaka 100 iliyopita,Zanzibar ilikuwa bora sana katika sekta hii. Hivyo ni vyema kuendeleza hili ili lisiweze kupoteza hadhi yake," alisema Mheshimiwa Othman.

Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 20) alipotembelea ofisi za Wakala wa Serikali wa Uchapaji iliyopo Maruhubi, kando kidogo ya kitovu cha Unguja Mjini.

Awali mapema Makamu huyo wa Kwanza wa Rais, ambaye alipokelewa ofisini hapo na watendaji wa ofisi hio wakiongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Tabia Maulid Mwita, alipata fursa ya kutembelea na kujionea utendaji kazi wa kiwanda cha uchapaji kilichomo ndani ya ofisi hizo sambamba na kubadilishana mawazo na watendaji.
 
24 Apr 2021
Migombani, Zanzibar

ALAMA ZA ZANZIBAR: Uhifadhi wa Nyaraka za Kisheria​

Zanzibar ina tareikh ya muda mrefu ya kuhifadhi na kuchapisha nyaraka zake ikiwemo law reports toka mwaka 1856 . Anaelezea hapa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Bwana Othman Masoud Othman.

Source : Gumzo la Ghassani
 
9 May 2021

Mkuu wa JKU atembelea Chuo cha Uongozi JKU Dunga. Awata wakufunzi JKUZ kusimamia nidhamu na uajibikaji.


Source : JKU HABARI ZANZIBAR
 
Tulimponda na kumkosoa sana Hayati JPM kwa style hii ya kuamua tu mambo aonavyo kichwani mwake.
Kuweni wazi pia kwa Mama.
Nilimsikiliza Bungeni, na leo.
AMEKOSEA SANA. FULL STOP. Semeni ukweli, hata kama akiwa ni wa upande wenu.
Wanafki hao
 
hiyo ni serikali yake....wewe inaakuhusu nini....kwani aliwahi kuja kuingilia serikali ya faamilia yako....?
 
27 May 2021
Maputo, Mozambique

Mozambique: Nyusi welcomes SADC leaders in Maputo​


President of Mozambique, Filipe Nyusi

The Mozambican Head of State and President-in-Office of the Southern African Development Community ( SADC ), Filipe Nyusi, receives on Thursday, May 27, the Extraordinary Summits of the Troika of the SADC Organ More Mozambique and the Double SADC Troika.

In the statement released by the Presidency of the Republic, it reads that “these summit meetings are taking place following the regional approach that has been taken to combine efforts in the fight against terrorism , complementing the actions of the Mozambican Government in order to normalize the situation and provide support for people affected to pursue the national development agenda ” .

The meeting, held in Maputo, will be attended by the President of Botswana and President of the SADC Organ for Politics, Defense and Security, Mogkweetse Masisi, the President of Malawi and Vice President of SADC, Lazarus Chakwera, and the President of South Africa and Vice President of the SADC body, Cyril Ramaphosa.

The President of the Republic of Zanzibar, representing the President of the United Republic of Tanzania and Outgoing President of SADC, Hussein Aly Mwinyi, the President of Zimbabwe and outgoing President of the SADC Organ, Emmerson Mnagwagwa, and the Secretary, is also expected to attend SADC executive, Stergomena Lawrence Tax.

Source : Moçambique: Nyusi acolhe líderes da SADC em Maputo | e-Global
 
Mama amemteua Mpango ambaye amejaa shukurani kwa kupendelewa kuwa makamu asiyeimudu nafasi yake ya Nini afanye kwa wakati huu kama makamu was rais badala yake ameacha Mwinyi apore nafasi yake kwa kisimgizio Cha uzoefu was kidiplomasia
 
Hapo Kuna vitu viwili,uislamu na ukristu,ni wakati sasa tuwe wawazi,hivi katiba ikisema makamu atatawala kwa mwaka mmoja kabla ya kuitisha uchaguzi haitoshi,in fact watu wanasema walimchagua mwenda zake,huyu alipita kwa jasho la mwenda zake,now look,wazee wote wako kimya,mama anakanyaga juu,guys!
 

Wa kambo wa kambo tu; wengi wao wana visa vya hapa na pale. Hata Rais wa kambo naye lazima awe na visa. Obviously, hii ni behavior ambayo haifanani na behavior ya mtu ambaye yeye mwenyewe amewahi kuwa VP kwa zaidi ya miaka mitano na, kwa kipindi chote hicho, hakuna hata siku moja nafasi yake ya VP iliwahi kuwa placed chini ya ile ya Rais wa Zanzibar.

Mathematically, the URT is a universal set and Zanzibar is just a tiny subset of the URT. Ni ujuha kwa mtu yeyote kufikiria kwamba Rais wa Zanzibar yuko juu ya VP wa JMT.
 
Muulize mbunge wako uliyemchagua hayo maswali. na kwa Maneno ya Kiswahili Raisi ni Mkubwa kuliko makamo wa raisi hata ukubadilisha kwa lugha za kigeni, hata kwenye hafla za kimataifa ndio utaratibu
Inategemea ni Rais wa kitu gani !?? Kwan Rais wa chuo changu Cha kata akienda akiwepo wakati Rais wa jmt naye atatambulishwa kabla ya makamu? Au Rais wa Chama Cha muziki Tanzania naye akiwepo ataanza kutambulishwa? Kwa huku tz Rais wa Zanzibar sio lolote wala chochote,na hawez wakilisha tz wala kutumwa kuwakilisha tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…