Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii


Usultani tayari umeingiza kwa kasi katika nchi inayojiita Jamhuri huku ikiongozwa na serikali za Baraza la Mapinduzi na ile ya Jamhuri (Republic) ya Muungano za Tanganyika na Zanzibar a.k.a TAN-ZAN-IA (Tanzania).
 
Hii kazi Hamisa Mobetto angeifanya vizuri tu
 
Enzi za JK, “tours” walikuwa wanafanya walimbwende kama Aunty Ezekiel.

Sasa anafanya Rais. Kweli?! Hayupo busy. Hivi nani anamshauri hivi vitu?

Yaani miaka zaidi ya 55 ya Uhuru wetu bado tunahitaji Rais mzima afanye kitu kama hiki? Hadhi ya Urais inashushwa daily
 
Huyu mama kwa kweli tuna rais mzigo sana ...anisamehe kama hatafurahia kauli yangu.

Muda wa kusoma madokezo atautoa wapi kutwa kiguu na njia kwa vitu vya kijinga kabisa kwa nafasi yake. Hiyo kazi bora afanye waziri husika... then gharama za kukimbia huko na huko tunachinjwa kwenye tozo. Kutangaza biashara ambayo kwa sasa haina turn up kutokana na Covid 19.

Ndio ushauri tola kwa Mr Rwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…