Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

Aiseee hivi kweli Rais anafanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Diamond au waziri wa utaliii? kweli Rais afanye kazi hii? hakika inasikitisha sana.
Hivi Rais kweli ana zunguka kurekodi vitu ambavyo vilitakiwa nkufanywa na wasanii wa bongo movie? Hivi kweli Rais hana kazi kabisa ya kufanya?
 
Hivi kwa mambo anayoyafanya unadhani kuna atakayehangaika na video zake ?
 
Huu ni upigaji wa pesa za walipa kodi. Ni kiasi gani kitatumika, hiyo kampuni wamiliki wake ni akina nani? Hiyo kampuni itakayorekodi imesajiliwa katika nchi gani? Huu mradi umefuata taratibu za manunuzi ya Serikali!?
 
tozo zimekuwa nyingi zinatafutiwa matumizi
 
Royal Tour! Matembezi ya Kifalme/Malkia! Nchini Tanzania! Sikujua kuwa watalii hupenda kuwaona wanasiasa au kuongozwa na wanasiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…